YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uhalifu dhidi ya binadamu raia wasio na hatia kuwaua,kuwatesa na kuwafanyia vitendo vya kinyama UkrainePutin anashitakiwa kwa makosa gani katika waranti ya ICC??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhalifu dhidi ya binadamu raia wasio na hatia kuwaua,kuwatesa na kuwafanyia vitendo vya kinyama UkrainePutin anashitakiwa kwa makosa gani katika waranti ya ICC??
😂🤣😂Huyo Biden akiona tu sura ya Putin anatoka nduki na kujifungia chumbani hata familia anasahau.
Kwa hiyo hapa ile kauli ya professorial rubbish inakuja inapoteaICC wapumbavu hawana Msingi wowote wa kisheria lkn hata ki- uwezo kumkamata Putin.Hiyo Arrest Warrant ni Ceremonial Haina effect yoyote ni kama uchafu kwenye dustbin
Una akili kiasi gani mkuuKwenye vita maaskari na magenerali ndio hufa sio viongozi na familia zao
Sasa magenerali wakiona wamechoka vita huwa mara ingine hawajui waimalize vipi
Huhitaji msaada wa ushauri toka nje ya jeshi kujua wafanyaje.Hao magenerali wa Urusi walikuwa kwenye mkwamo wa maamuzi
Sasa mahakama.ya uhalifu wa kivita imewatonya jinsi ya kumaliza vita kuwa mleteni Putin ndiye mhalifu mkuu wa kivita kati ya Russia na Ukraine sio nyie
Mkimleta huyo mhalifu vita inaisha
Sasa hapo wameachiwa wao waamue waendelee kupigana Ukraine usiku na mchana wakilala maporini kwenye maisha magumu kwa kutii amri. Za Mhalifu wa kivita Putin mhalifu wa kimataifa anayetakiwa mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague au wamkamate wamkabidhi The Hague Askari warudi kwao kula bata na Urusi iwe na amani na kuondoka kwenye mdororo wa uchumi?
Jibu rahisi watachagua kukamata Putin na kumkabidhi The Hague
Ceremonial? Unaota hiyo hati ya ICC ina nguvu mno hata kwa wapinzani wake ndani ya Chama chake, ndani ya Jeshi na ndani ya vyama vya upinzani Russia kupata nguvu kuwa wana support ya kimataifa wakiamua kushughulika na mhalifu wa kivita PutinICC wapumbavu hawana Msingi wowote wa kisheria lkn hata ki- uwezo kumkamata Putin.Hiyo Arrest Warrant ni Ceremonial Haina effect yoyote ni kama uchafu kwenye dustbin
Umelewa?Wameandaa mtego aondolewe na wenzake afu wamkabidhi ICC
Mauaji ya halaiki kule Iraq. Google mauaji ya blackwaters la USAUlitaka akamatwe kwa makosa gani?
Taja kosa moja ambalo lingepelekea kukamatwa
Mauaji ya halaiki kule Iraq. Google mauaji ya blackwaters la USA
Hivi wewe unawaza Kwa kiungo gani? anyway JF inatoa Uhuru Kwa kujieleza Kwa kila mtu.Ceremonial? Unaota hiyo hati ya ICC ina nguvu mno hata kwa wapinzani wake ndani ya Chama chake, ndani ya Jeshi na ndani ya vyama vya upinzani Russia kupata nguvu kuwa wana support ya kimataifa wakiamua kushughulika na mhalifu wa kivita Putin
Ina maana makundi yote ya upinzani dhidi ya Putin Russia wanaruhusiwa kuomba misaada ya kimataifa ya lumuondoa Putin madarakani na watapewa
Sababu jumuiya ya kimataifa inamtambua kama criminal
Hivyo yeyote Russia anayehitaji msaada wa fedha, silaha au logistics za kumpindua Putin,kumuua au kumkamata kumpeleka the Hague ana support ya kimataifa
Hiyo warrant ni go ahead document kwa wapinzani wote wa Putin kuwa jumuiya ya kimataifa iko nanyi ku deal na huyo criminal
Wameupa nguvu upinzani Russia kuwa jumuiya ya kimataifa iko nao
Ni wao tu kusema nini kinatakiwa kummaliza mhalifu Putin wapewe msaada
Iraq pekee walikufa watu Zaidi ya laki 3 Kwa Sababu ya wamarekani.Hakuna mauaji ya halaiki yaliyotikea Iraq, Wafanyakazi wa Blackwaters waliohusika na mauaji ya raia Iraq walihukumiwa vifungo vya muda mrefu na wengine vya maisha gerezani katika kesi ya iliyokuwa na utata mkubwa.
Huu si uhuru wa kujielezaCeremonial? Unaota hiyo hati ya ICC ina nguvu mno hata kwa wapinzani wake ndani ya Chama chake, ndani ya Jeshi na ndani ya vyama vya upinzani Russia kupata nguvu kuwa wana support ya kimataifa wakiamua kushughulika na mhalifu wa kivita Putin
Ina maana makundi yote ya upinzani dhidi ya Putin Russia wanaruhusiwa kuomba misaada ya kimataifa ya lumuondoa Putin madarakani na watapewa
Sababu jumuiya ya kimataifa inamtambua kama criminal
Hivyo yeyote Russia anayehitaji msaada wa fedha, silaha au logistics za kumpindua Putin,kumuua au kumkamata kumpeleka the Hague ana support ya kimataifa
Hiyo warrant ni go ahead document kwa wapinzani wote wa Putin kuwa jumuiya ya kimataifa iko nanyi ku deal na huyo criminal
Wameupa nguvu upinzani Russia kuwa jumuiya ya kimataifa iko nao
Ni wao tu kusema nini kinatakiwa kummaliza mhalifu Putin wapewe msaada
Upo sahihi kabisa ni vigumu mno Putin kukamatwa hata akiwa ziarani nje ya Urusi....View attachment 2556122
Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio wanachama wa ICC?
Tuanze na swala la uanachama, ICC ni mahakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya kivita(War crime), uharifu dhidi ya binadamu( Crime against humanity), Mauaji ya Kimbali (Genocide) na Uvamizi (Act of Agression) Mahakama hii ilianzishwa Julai 1, 2002 huku ikiwa na wanachama 60 kufuatia Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (Rome Statute) wa mwaka 1998. Baadhi ya mataifa ambayo hayakukubali kuwa wanachama wa Mahakama hii ni Marekani, China, Iran, Israel, Qatar, na Libya.
View attachment 2556125
Urusi ilisaini mkataba wa ‘Rome statute’ lakini haikuwahi kuthibitisha ‘ratify’ ili kuwa mwanachama halali hadi mwaka 2016 ilipojitoa rasmi kwenye mkataba huo. Kwa upande wa Ukraine haikuwahi kuwa mwanachama. Hapo unaweza kujiuliza imekuwaje ICC iingilie kati mgogoro kati ya mataifa ambayo sio wanachama wake? Ipo hivi kwenye mkataba wa kuanziswa kwa Mahakama hii ya Kimataifa Kifungu cha 87(5) kinaelezea ushirikiano kwa mataifa yasiyo wanachama wa ICC. Kifungu hicho Kinabainisha kwamba Mahakama ‘’inaweza kualika Nchi yoyote isiyohusika na Mkataba huu kutoa msaada chini ya Sehemu hii kwa misingi ya mpangilio wa dharura au kwa makubaliano na Nchi hiyo au misingi yoyote inayofaa. Hivyo Ukraine pamoja na kutokuwa mwanachama imetumia nafasi hiyo kutoa ushahidi dhidi ya Putin kuhusu makosa ya kivita na uhamishaji haramu wa binadamu (hasa watoto).
Swali la mihimu ni je Putin atakamatwa baada ya hati ya kukamatwa kwake kutolewa na ICC?
Tunapaswa kujua kwamba ICC haina nguvu ya dora kama jeshi na Polisi hivyo hutumia wanachama wake kukamata waarifu na kuwapeleka mbele ya Mahakama (Baada ya Hati ya kukamatwa kwa muharifu kutolewa kama mtu huyo ni raia wa nchi isiyo mwanachama wa ICC atasubiliwa hadi atakapo toka nje ya nchi yake na kutembelea nchi mwanachama wa ICC Inchi hiyo iliyotembelewa ndiyo inaweza kumkamata ingawa swala hili sio la lazoma kwa nchi husika)
View attachment 2556126
Raisi wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir alitolewa hati kama hii mwaka 2009 wakati akiwa bado madarakani na alitembelea nchi kadhaa wanachama wa ICC bila kukamatwa licha ya ICC katika Mkataba wake kutotambua ‘Immunity’ kwa viongozi wa nchi. Swala la kukamatwa kwa Raisi wa nchi flani tena akiwa ziarani katika nchi nyingine ni gumu kutokana na makubaliano mengi ya kidiplomasia kabla ya Ziara ya kiongozi wa nchi katika nchi nyingine hivyo swala la Putin kukamatwa ni ndoto ambayo ni ngumu sana kutimia tena pengine haitotimia.
Unafikiri Wamagharibi lengo kuu lao ni Putin mwenyewe? Lengo la US ni kuisambalatisha Russia isiwe na nguvu, Waigawanye kila eneo lidai uhuru wake na awe upande wa Marekan yaani kibaraka wake, kufuta kabisa historia ya kirusi na ndiyo maana maeneo kama Donbas kule wazee wote ambao walionekana kubeba idiology za kirusi waliuawa na Serikali ya Ukraine, pale Kiev maktaba kuu haina kitabu ata kimoja kwasasa ambacho kinahusiana na idiology za kirusi, historia yao nzuri zaidi yanaibuka machapisho mpya yakujenga chuki dhidi ya Russia.Atakamatwa na magenerali wake ndani ya Russia ambao ni power mongers kama solution ya kumaliza vita na kuikoa urusi dhidi ya mdororo wa uchumi
Hiyo hati ina maana kubwa kuwa jumuiya ya kimataifa inayemtambua kama mhalifu wa kivita Urusi ni huyo Kinara Putin tu sio magenerali wa Jeshi
Hiyo itaaatua magenerali kumdaka na kumkabidhi The Hague
Iraq pekee walikufa watu Zaidi ya laki 3 Kwa Sababu ya wamarekani.
Funny moments don't endView attachment 2556122
Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio wanachama wa ICC?
Tuanze na swala la uanachama, ICC ni mahakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya kivita(War crime), uharifu dhidi ya binadamu( Crime against humanity), Mauaji ya Kimbali (Genocide) na Uvamizi (Act of Agression) Mahakama hii ilianzishwa Julai 1, 2002 huku ikiwa na wanachama 60 kufuatia Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (Rome Statute) wa mwaka 1998. Baadhi ya mataifa ambayo hayakukubali kuwa wanachama wa Mahakama hii ni Marekani, China, Iran, Israel, Qatar, na Libya.
View attachment 2556125
Urusi ilisaini mkataba wa ‘Rome statute’ lakini haikuwahi kuthibitisha ‘ratify’ ili kuwa mwanachama halali hadi mwaka 2016 ilipojitoa rasmi kwenye mkataba huo. Kwa upande wa Ukraine haikuwahi kuwa mwanachama. Hapo unaweza kujiuliza imekuwaje ICC iingilie kati mgogoro kati ya mataifa ambayo sio wanachama wake? Ipo hivi kwenye mkataba wa kuanziswa kwa Mahakama hii ya Kimataifa Kifungu cha 87(5) kinaelezea ushirikiano kwa mataifa yasiyo wanachama wa ICC. Kifungu hicho Kinabainisha kwamba Mahakama ‘’inaweza kualika Nchi yoyote isiyohusika na Mkataba huu kutoa msaada chini ya Sehemu hii kwa misingi ya mpangilio wa dharura au kwa makubaliano na Nchi hiyo au misingi yoyote inayofaa. Hivyo Ukraine pamoja na kutokuwa mwanachama imetumia nafasi hiyo kutoa ushahidi dhidi ya Putin kuhusu makosa ya kivita na uhamishaji haramu wa binadamu (hasa watoto).
Swali la mihimu ni je Putin atakamatwa baada ya hati ya kukamatwa kwake kutolewa na ICC?
Tunapaswa kujua kwamba ICC haina nguvu ya dora kama jeshi na Polisi hivyo hutumia wanachama wake kukamata waarifu na kuwapeleka mbele ya Mahakama (Baada ya Hati ya kukamatwa kwa muharifu kutolewa kama mtu huyo ni raia wa nchi isiyo mwanachama wa ICC atasubiliwa hadi atakapo toka nje ya nchi yake na kutembelea nchi mwanachama wa ICC Inchi hiyo iliyotembelewa ndiyo inaweza kumkamata ingawa swala hili sio la lazoma kwa nchi husika)
View attachment 2556126
Raisi wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir alitolewa hati kama hii mwaka 2009 wakati akiwa bado madarakani na alitembelea nchi kadhaa wanachama wa ICC bila kukamatwa licha ya ICC katika Mkataba wake kutotambua ‘Immunity’ kwa viongozi wa nchi. Swala la kukamatwa kwa Raisi wa nchi flani tena akiwa ziarani katika nchi nyingine ni gumu kutokana na makubaliano mengi ya kidiplomasia kabla ya Ziara ya kiongozi wa nchi katika nchi nyingine hivyo swala la Putin kukamatwa ni ndoto ambayo ni ngumu sana kutimia tena pengine haitotimia.
Naona we bado upo ndotoniCeremonial? Unaota hiyo hati ya ICC ina nguvu mno hata kwa wapinzani wake ndani ya Chama chake, ndani ya Jeshi na ndani ya vyama vya upinzani Russia kupata nguvu kuwa wana support ya kimataifa wakiamua kushughulika na mhalifu wa kivita Putin
Ina maana makundi yote ya upinzani dhidi ya Putin Russia wanaruhusiwa kuomba misaada ya kimataifa ya lumuondoa Putin madarakani na watapewa
Sababu jumuiya ya kimataifa inamtambua kama criminal
Hivyo yeyote Russia anayehitaji msaada wa fedha, silaha au logistics za kumpindua Putin,kumuua au kumkamata kumpeleka the Hague ana support ya kimataifa
Hiyo warrant ni go ahead document kwa wapinzani wote wa Putin kuwa jumuiya ya kimataifa iko nanyi ku deal na huyo criminal
Wameupa nguvu upinzani Russia kuwa jumuiya ya kimataifa iko nao
Ni wao tu kusema nini kinatakiwa kummaliza mhalifu Putin wapewe msaada
Hata vita ya Ukraine wao magharibi walijua Urusi atadhoofika Kwa kutumia resources zake huko huku akiwa na vikwazo vya Uchumi lakini wame-prove failure kwenye battlefield wapo hai na vikwazo vina-backfire kwao.Ndo wanakuja na CEREMONIAL Arrest Warrant Kwa Putin Kwa kutapatapa Mahakama yenyewe ya ICC Haina Jurisdiction yoyote Kwa Urusi kwani hakuwahi ku-ratify Mahakama hiyo,kama Marekani nae haja-ratifyUnafikiri Wamagharibi lengo kuu lao ni Putin mwenyewe? Lengo la US ni kuisambalatisha Russia isiwe na nguvu, Waigawanye kila eneo lidai uhuru wake na awe upande wa Marekan yaani kibaraka wake, kufuta kabisa historia ya kirusi na ndiyo maana maeneo kama Donbas kule wazee wote ambao walionekana kubeba idiology za kirusi waliuawa na Serikali ya Ukraine, pale Kiev maktaba kuu haina kitabu ata kimoja kwasasa ambacho kinahusiana na idiology za kirusi, historia yao nzuri zaidi yanaibuka machapisho mpya yakujenga chuki dhidi ya Russia.
Kwaiyo mission ya Mmarekani sio kumtoa putin pale kweye kiti hapana, ila waingushe Urusi kama walivyofanya kwa USSR.