Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

Hapo hawana hoja ya msingi kabisa, ni kama wamejaribu kila mbinu chafu ili kumdhoofisha Putin lakini wameshindwa!! Sasa wamebaki kupiga kelele tu!!!
 
Una akili kiasi gani mkuu
 
ICC wapumbavu hawana Msingi wowote wa kisheria lkn hata ki- uwezo kumkamata Putin.Hiyo Arrest Warrant ni Ceremonial Haina effect yoyote ni kama uchafu kwenye dustbin
Ceremonial? Unaota hiyo hati ya ICC ina nguvu mno hata kwa wapinzani wake ndani ya Chama chake, ndani ya Jeshi na ndani ya vyama vya upinzani Russia kupata nguvu kuwa wana support ya kimataifa wakiamua kushughulika na mhalifu wa kivita Putin

Ina maana makundi yote ya upinzani dhidi ya Putin Russia wanaruhusiwa kuomba misaada ya kimataifa ya lumuondoa Putin madarakani na watapewa

Sababu jumuiya ya kimataifa inamtambua kama criminal

Hivyo yeyote Russia anayehitaji msaada wa fedha, silaha au logistics za kumpindua Putin,kumuua au kumkamata kumpeleka the Hague ana support ya kimataifa
Hiyo warrant ni go ahead document kwa wapinzani wote wa Putin kuwa jumuiya ya kimataifa iko nanyi ku deal na huyo criminal

Wameupa nguvu upinzani Russia kuwa jumuiya ya kimataifa iko nao

Ni wao tu kusema nini kinatakiwa kummaliza mhalifu Putin wapewe msaada
 
Hakuna mauaji ya halaiki yaliyotikea Iraq, Wafanyakazi wa Blackwaters waliohusika na mauaji ya raia Iraq walihukumiwa vifungo vya muda mrefu na wengine vya maisha gerezani katika kesi ya iliyokuwa na utata mkubwa.
Mauaji ya halaiki kule Iraq. Google mauaji ya blackwaters la USA
 
Hivi wewe unawaza Kwa kiungo gani? anyway JF inatoa Uhuru Kwa kujieleza Kwa kila mtu.
 
Hakuna mauaji ya halaiki yaliyotikea Iraq, Wafanyakazi wa Blackwaters waliohusika na mauaji ya raia Iraq walihukumiwa vifungo vya muda mrefu na wengine vya maisha gerezani katika kesi ya iliyokuwa na utata mkubwa.
Iraq pekee walikufa watu Zaidi ya laki 3 Kwa Sababu ya wamarekani.
 
Huu si uhuru wa kujieleza


Isipokuwa umetipwika pwiiiiiiiiiii

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi kabisa ni vigumu mno Putin kukamatwa hata akiwa ziarani nje ya Urusi....

Ila uwepo wa hii hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi ni aibu na fedheha kwa nchi husika.
 
Hizo ni ndoto za mchana! Labda itokee Wananchi wa Russia wamkamate wenyewe na kumpeleka The Hague.Vinginevyo ni kama kuchezea sharubu za Simba.
 
Unafikiri Wamagharibi lengo kuu lao ni Putin mwenyewe? Lengo la US ni kuisambalatisha Russia isiwe na nguvu, Waigawanye kila eneo lidai uhuru wake na awe upande wa Marekan yaani kibaraka wake, kufuta kabisa historia ya kirusi na ndiyo maana maeneo kama Donbas kule wazee wote ambao walionekana kubeba idiology za kirusi waliuawa na Serikali ya Ukraine, pale Kiev maktaba kuu haina kitabu ata kimoja kwasasa ambacho kinahusiana na idiology za kirusi, historia yao nzuri zaidi yanaibuka machapisho mpya yakujenga chuki dhidi ya Russia.

Kwaiyo mission ya Mmarekani sio kumtoa putin pale kweye kiti hapana, ila waingushe Urusi kama walivyofanya kwa USSR.
 
Sio kila mauaji ya maelfu au malaki ya watu yanakuwa ya halaiki,
Huwezi pia kufungua kesi ya kusema walikufa kwa sababu ya Wamarekani, hayo sio mashitaka. Mwingine anaweza kusema walikufa kwa sababu ya Saddam au wanamgambo.
Iraq pekee walikufa watu Zaidi ya laki 3 Kwa Sababu ya wamarekani.
 
Funny moments don't end
 
Naona we bado upo ndotoni
 
Hata vita ya Ukraine wao magharibi walijua Urusi atadhoofika Kwa kutumia resources zake huko huku akiwa na vikwazo vya Uchumi lakini wame-prove failure kwenye battlefield wapo hai na vikwazo vina-backfire kwao.Ndo wanakuja na CEREMONIAL Arrest Warrant Kwa Putin Kwa kutapatapa Mahakama yenyewe ya ICC Haina Jurisdiction yoyote Kwa Urusi kwani hakuwahi ku-ratify Mahakama hiyo,kama Marekani nae haja-ratify
 
Tunachokijua mpaka sasa ni kuwa Putin ni mhalifu na anatafutwa na mahakama ya kimataifa ya ICC,kama sio sasa hata baadae lazima afike kujibu mashtaka yanayomkabili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…