Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

6 Agosti 2021
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkuu Mkazi ya Kisutu
Dar es Salaam, Tanzania

HATI MPYA YA MASHTAKA YAWASILISHWA tarehe 6 Agosti 2021

silaha moja ya moto, risasi moja ndiyo silaha pekee ktk hati mpya ya mashtaka kuwa ilikuwa itumike ktk maandalizi ya kutekeleza uovu dhidi ya dola / nchi.
 
jamani watanzania wenzangu wenye magonjwa kama;
1. KISUKARI
2. UKIMWI
3. SARATANI
4. KIFUA KIKUU
5. CELI MUNDU
Chukueni tahadhari hili wimbi la tatu lina puputisha balaa, aise.
 
Na nyie acheni kelele basi,
HEBU pelekeni haraka huo ushahidi na hivyo vielelezo mlivyonavyo mkawasaidie mapolisi wenu ambao bado wanahanjahanja na kuendelea kuvunja maofisi ya CHADEMA na vituko vingine, ili kutafuta cha kuokoteza.
wamesema ijumaa ijayo commital, muda si mrefu kesi itaanza kusikilizwa high court. uzuri ni kwamba majaji, na sio mahakimu, ndio watasikiliza hiyo kesi. kwa hiyo hukumu itatoka ya haki.
 
Angefanikiwa tungesema POLICE au TISS awajui kazi. Sasa tunalalamika, kwakudhibikiti mauaji au janga lolote lile. POLICE wanaonea, ST wanaonea. Tusubiri Mahakama na ushaidi. Mbano ya Sebaya tunasubiri.
Hapo ndo ccm mnapofeli
 
Ccm sasa walipofika hawana kabisa Presidential Material, wamebaki watu wa kuokoteza tu wasio kabisa na karama ya uongozi na ndio akina Magufuli, Samia na wengi ambao ni bogus kabisa.

Kama serikali ambayo inasema polisi wasiwabambikie wananchi vyesi ndio kinara wa kuwabambikia watu vyesi sasa hiyo ni serikali ya kipumbavu namna gani.

Safari hii tunataka kuona serikali hii ikiwekewa vikwazo fulani vya kiuchumi ili ndio heshima irudi, huwezi ukatawala miaka 60 eti bado ukawa unakubalika, huo ni uongo kabisa.
 
Mama uliye jumba jeupe fery hapo nakuombea dua uwe katiri kushinda Mwendazake ili ukienda akhera uwe kuni endelea kuuaibisha uislam wako hadi Dunia nzima ijue uwe maarafu kwa ubaya wako... Amin
 
Back
Top Bottom