Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

Msikilizeni na Nacha..Darasa Huru..
huyu jamaa naye ni moto sijawahi sikia ngoma zakenyingine ila hii darasa huru ukisikiliza na vichekesho vyenye maana kubwa sana.big up kwake.
 
Piga salut kwa salu T,huyu jamaa Salu T wabongo hawakumkubali cha ajabu wasanii wengi wa hiphop wanamtaja kama legend...
 
Overall mc kwa kizazi baada ya akina jaymoe mbishi hatari sana, jamaa ana offer vitu vingi sanaaaaa flows, punchlines, true life dramas, methaphors, storry telling, freestyles n.k ila kiundishi wa story hyu dizasta ni mtu mwingine kabisa
Labda me ntakua addicted wa Nikki Mbishi
Maana nimetamani hii idea angepita nayo yeye
 
Sijui kwanini nashindwa kumsikiliza...

Nimeutafuta wimbo nikaishia kuucheza hadi dakika 1 tu.

Nikaishia kuisikiliza King Kolla na Nyokaa. Nadhani Mbwa ndiye best storyteller kwangu.
Itakuwa una matatizo yko binafsi
 
Huyu jamaa anajua sana asee...mwaka juzi nilikuwa nimepanga kuoa, lakini baada ya kusikiliza ile ngoma yake inaitwa "ndoana" ikabidi niahirishe kwanza suala la kuoa[emoji3][emoji3]
 
Usimsahau na amos mwijonge The unlimited professional trainers.
Hahaha hua nafurahi sana kuona kuna watu wanasikiliza ngoma ngumu kama hizi

Sasa itafute msomi ya shaulin ucheki mistari ya kibabe kama jina lake
 
Huyu jamaa anajua sana asee...mwaka juzi nilikuwa nimepanga kuoa, lakini baada ya kusikiliza ile ngoma yake inaitwa "ndoana" ikabidi niahirishe kwanza suala la kuoa[emoji3][emoji3]
Sio wewe tu hadi mademu nao wako mguu nje kuolewa tangu alipowachana hivi
Dear women ndoa sio mafanikio, kuna wengi wanao konda maana ndoa zao sio.../

Ndoa ni mwiba usijivune, ukiipata jiamini unaweza kukamilika bila mume.../


Kama unahisi upo huru umepotoka, hauwezi kua huru wakati umelipiwa posa.../

Dada baki shule bila elimu utateseka, unategemea urembo ipo siku utazeeka.../
 
Hii mistari ndo ipo kwenye ile ngoma yake inaitwa "ndoa haina stamina" au sio
 
Hahaha hua nafurahi sana kuona kuna watu wanasikiliza ngoma ngumu kama hizi

Sasa itafute msomi ya shaulin ucheki mistari ya kibabe kama jina lake
Na pia Shaulin na mbeya boy chuma getho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…