joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Okay.Sawa ngoja tuone hitimisho la kamati hapo jumatatu panapo majaaliwa.....
Nope, wanaweza kusema nafasi ya KUVUNJA mkataba ipo (na hii ni fact, kila mkataba una option hii) kwa kuzingatia mahitaji ya mkataba. Sasa mkataba una pande mbili, mwajiri na mwajiriwa. HAIWEZEKANI mwajiriwa akajifungia chumbani tu akavunja mkataba pasipo maridhiano ya pande zote, HUU NI UHUNI. TFF hawana mamlaka ya kuingilia mkataba na kumwacha huru Fei, hapo lazima kijana akae mezani na mwajiri wake.Kwa hiyo hapawezekani kuwepo na matumaini kwenye hayo maelezo ya kina......???
Je wakisema kuwa japokuwa wana mkataba lakini nafasi ya kuvunja anayo kulingana na aina ya mkatab.....???
Mwisho wa siku atakaye umia ni nani?
Kwa klabu inayo mtaka,waiandikie barua Yanga simple,kwamba tunamtaka Fei. Yanga juzi si waliwandikia Azam then Azam akasema wakiwataka Akamiko na mwezake waweke mezani mil 900.Utaratibu aliotakiwa kuufuata ni upi?
hatima ya fei toto ishatolewa kuwa ni mchezaji wa yanga j3 unatolewa ufafanyzi wa uamuzi kuonedha kwanini fei ni mchezaji wa yangaMakolo mulibwanji?
View attachment 2471972
Tangu hapo inafahamika kuwa Feisal ni mali halali ya Yanga....kesi ya msingi ya Feisal na Yanga ni uhalali wa kuuvunja huo mkataba.......tunataka kamati ituambie baada ya kuwa yeye ni mali Yanga je ni halali kwake kuvunja mkataba vile alivyovunja.......
Hivi unajua maana ya mkataba?Nope, wanaweza kusema nafasi ya KUVUNJA mkataba ipo (na hii ni fact, kila mkataba una option hii) kwa kuzingatia mahitaji ya mkataba. Sasa mkataba una pande mbili, mwajiri na mwajiriwa. HAIWEZEKANI mwajiriwa akajifungia chumbani tu akavunja mkataba pasipo maridhiano ya pande zote, HUU NI UHUNI. TFF hawana mamlaka ya kuingilia mkataba na kumwacha huru Fei, hapo lazima kijana akae mezani na mwajiri wake.
Kumbuka vilabu husajili kwa malengo, sasa upande unaotaka kusitisha mkataba ni lazima wajadili. Kama mwajiri ataona hawezi kufikia "terms" za mwajiriwa hapo ndipo kusudio la kuvunja mkataba litatazamwa.
Ingawa leo hii tunafurahia kwamba Yanga wanaumizwa, lakini ukweli ni kuwa tutatengeneza utaratibu mbovu ambao utasumbua sana mbeleni, hasa kwa vilabu vidogo. Mfano Yanga ikimtaka mchezaji wa Ruvu Shooting hawatahitaji kutumia gharama kubwa kumnunua, badala yake watataka anunue tu mkataba wake afu wanajitwalia. Tutsumiza soka letu wenyewe
Kabla haujachangia unapaswa kufuatilia mambo kwa undaniHivi unajua maana ya mkataba?
Unajua kwa nini yanga waliweka kipengele cha kuununua mkataba kwa milioni 100?
Ukishaununua kuna nini cha kuongea tena?Kimesemwa kwenye mkataba? Kama hakijasemwa,ninyi mnatoa wapi kipengele cha "wakae mezani?" Kama si uswahili tu?
Kama kulikuwa na hitaji la kukaa mezani kwa nini waliandika milioni 100?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app