Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kwenu wanasheria.
Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili!
Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo.
Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi as long as siyo kosa la kinodhamu.
Naomba ushauri wenu tafadhali