Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Aliachishwa 2020 mkuupia alikuwa ana Mkataba wa ajira wa namna gani (wa kudumu au muda maalumu)?na barua ya kufukuzwa kazi anayo?sababu za kuachishwa kazi iliandikwa ni ipi?kama ni abcondment/utoro basi kuna njia ya kutoka hapo kwa kufungua kesi CMA ila kesi itakuwa nje ya muda vinginevyo awe ameachishwa kazi siku hizi za usoni
Barua zote zipo na it was got sponsored studiesPoleni,
1: Uthibitisho wa barua yake kwenda kwa mwajiri akiomba ruhusa ya kwenda kusoma anao?
2: Barua rasmi ya mwajiri kumruhusu kwenda kusoma anayo?
3: Alitimiza utaratibu kwa kadri barua ilivyomuelekeza?
Sababu ya kuachishwa ilikuwa ni nini?na je alishawahi kuchallange maamuzi ya mwajiri wake kokote?au anasababu za mashiko ili kuomba kufungua kesi nje ya muda CMA?na yuko wapi?kama uko serious karibu tufanye kazi Boss maana kutype hapa kidogo inakuwa changamotoAliachishwa 2020 mkuu
Nipo serious napatikana dar kama inawezekana twende kazi muu. Wewe unapatikana hapa mjini??Sababu ya kuachishwa ilikuwa ni nini?na je alishawahi kuchallange maamuzi ya mwajiri wake kokote?au anasababu za mashiko ili kuomba kufungua kesi nje ya muda CMA?na yuko wapi?kama uko serious karibu tufanye kazi Boss maana kutype hapa kidogo inakuwa changamoto
Niko Morogoro ila tunaweza kufanya kaziNipo serious napatikana dar kama inawezekana twende kazi muu. Wewe unapatikana hapa mjini??
Sawa mkuuNiko Morogoro ila tunaweza kufanya kazi
Anaweza kuwa nazo, lakini ni forgery pia.Barua zote zipo na it was got sponsored studies
SawaAnaweza kuwa nazo, lakini ni forgery pia.
Mimi siamini kama kaonewa kiasi hicho. Kuna mtu namfahamu kabisa, aliondolewa kwa kukosa vyeti vya taaluma. Kisa aliibiwa vyote...
Huko CMA mbona Huwa Ina mda wa kukata rufaa ndoani ya miezi mitatu Sasa ka hakufanya hivo si imekula kwake, labda umsaidie mlango wa nyumaSababu ya kuachishwa ilikuwa ni nini?na je alishawahi kuchallange maamuzi ya mwajiri wake kokote?au anasababu za mashiko ili kuomba kufungua kesi nje ya muda CMA?na yuko wapi?kama uko serious karibu tufanye kazi Boss maana kutype hapa kidogo inakuwa changamoto
Uko sahihiAnaweza kuwa nazo, lakini ni forgery pia.
Mimi siamini kama kaonewa kiasi hicho. Kuna mtu namfahamu kabisa, aliondolewa kwa kukosa vyeti vya taaluma. Kisa aliibiwa vyote...
Kama hivi vyote vipo na ni genuine na ana ile ua kumwachisha kazi, wakati huo sababu iliyoelezewa na kutokuwepo kazini kwa kipindi husika.Barua zote zipo na it was got sponsored studies
Ndio maana nilimwambia Kama anasababu za msingi tunaweza omba kuongezewa muda(Condonation) na keai ikaendeleaHuko CMA mbona Huwa Ina mda wa kukata rufaa ndoani ya miezi mitatu Sasa ka hakufanya hivo si imekula kwake, labda umsaidie mlango wa nyuma