Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Dah, sasa niambieni kama VW TOUREG yangu ni ya kike au ya kiume ili nijue. Isije ikawa ya kiume kumbe kila nikiikalia nakuwa nimekalia dudu, nimepakatwa ila mi sijui. Nikishuka nakuwa nimeloa najua jasho kumbe shahawa...!!! Kama ni ya kike poa tu, kukalia papuchi sio mbaya. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu jiandae tu lkn jua tu ukipelekwa hosp. Lazima wakupige bomba na hio VW TOUREGA mkuu.
 
Mkuu wengine ndio ndoto zetu hizo leo nimepitia beforwad site nimekuta gari inauzwa dola 21 nafikilia gharama zake tu pale bandalini
 
kika hitaji humfaa muhitaji kuna wenzio hiyo bmw wanaona ni uchafu kwao wanatumia choper na unapo ongelea toyota kuwa ya kimaskin fafanua toyota gani maana kuna toyota ni ghali zaid ya bmw
Unaongelea bmw 3 series au ipi hapo maana zipo kibao tu hapo zina bei ya chini kuliko brevis/altezza/Progress//mark x etc
 
Jamani, unavyoo ongea kuwa ponda wanaume wenzio utafkiri una bugati au ferari!! Gari gari bwana ilimradi unafika kule utakapo kwenda!! Na chamsingi kila mmoja anapato lake usiwalazimeshe wooote wawe na miprado!
Ni kweli mkuu,ndoo maana nimesema ni afadhali niendeshe kirikuu.
Na ni mara nyingi naendesha kirikuu,uingizaji wa gia(manual) unanichangamsha mwili wangu.
 
Mkuu wengine ndio ndoto zetu hizo leo nimepitia beforwad site nimekuta gari inauzwa dola 21 nafikilia gharama zake tu pale bandalini
Mkuu Mungu aendelee kuwa nawe. Wengine tulianza na corolla tena imenunuliwa kwa mtu dash board imepasuka vibaya mno.Niliipeleka kwa fundi sofa akaipiga leather...
Safari ni hatua
 
Hihihihi endesheni tu toyota papuchi hizo
 
Ni kweli, naona SUV nyingi zinazotoka sasa hivi zitafanana, Rav 4 hybrid, Harrier Hybrid, Subaru foresta 2019, na nyingine kibao, naona kwa sasa huo mwonekano umekuwa na mvuto sana kwenye SUV ndo maana watengenezaji wameanza kujikita huko.
Zinae shepu nzuri lakini, sio sawa na mitoleo ya nyuma. So far facelifted zote za toyota zinarudisha mvuto wa gari
 
VW Touareg hio gari ni Bolo mzee baba. Hapo unakatikia kipisi ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…