Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Wewe ungebakia kwenye siasa tu mkuu huku sio size yako.
Mimi najua kinacho kuchanganya ni ile body.. Ulisha wahi kumwona waziri akiendeshwa na prado?

Unajua sababu zipi hadi serikali wakasema hawatumii prado badala yake wataendelea kutumia vx v8?

Kwangu mimi prado hamna gari pale... Siku ukinunua hii gari ndiyo utakuja kuyakumbuka maneno yangu... Prado hamna kitu pale.... Ukienda safari ndefu ile ngoma ikikolea kidogo haichelewi kukuhamisha barabarani... Kuchomoka tairi ni kawaida sana

Serikali: Tutaendelea kununua VX V8 kwa viongozi wa serikali magari mengine hayafai na hayana ubora
 
Shikamoo....!
 
Hahahahahahaha


Nimeshangaa eti kama una hela za kuunga ndio ununue kluger watu mnadharau magari yetu jamani.

Matajiri wa JF
Gari ya milion 18-22 anasema ya hela ya kuunga sasa wa Passo, demio au swift za milion 8 watakua kundi lipi..still kibongo bongo kluger ni gari ya class ya juu kiasi ukilinganisha na nyingi tunazoziona barabarani, maana kuna class ya chin kabisa ya hivi wanaviita vibaby walker price yake ni milion 7-hadi 9 , inayofuata ndio hizi Premio au allion kuanzia 11 mpaka 15.
 
Acha tu mkuu,siku zote mtu akimiliki gari yake hata kama iwe passo huwa namuheshimu
 
Naona wametambaa sawa na hyundai sante fe...
Ila bongo nyoso sasa hv tunatamba na rav 4 za 2006.
Hio gari kuna watakayoinunua soon wala hawatasubiria mpaka ikazagae beforward mwaka 2029 . Utashangaa tu iko kwenye page ya hotrides tz.
Makapuku ndio tunavimba na vigari vya miaka 12 nyuma tunaita new model hihihi
 
Ni kweli Kluger gari ya class kidogo compared na hutwo tu babe walkers ila comfortability yake haiwezi fikia some classy V6's. Unataka kuniambia Kluger ni comfortable kuliko Toyota Crown ,Brevis ama Mark X kwa sababu umenunua 22m?

Tukizungumzia Kluger comfortability labda kwa model za kuanzia 2012-2018 ndio zingewa outpeform wote hao ila mbaya ni kwamba majority mnatumia za 2000-2005.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…