Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Mimi najua kinacho kuchanganya ni ile body.. Ulisha wahi kumwona waziri akiendeshwa na prado?Wewe ungebakia kwenye siasa tu mkuu huku sio size yako.
Unajua sababu zipi hadi serikali wakasema hawatumii prado badala yake wataendelea kutumia vx v8?
Kwangu mimi prado hamna gari pale... Siku ukinunua hii gari ndiyo utakuja kuyakumbuka maneno yangu... Prado hamna kitu pale.... Ukienda safari ndefu ile ngoma ikikolea kidogo haichelewi kukuhamisha barabarani... Kuchomoka tairi ni kawaida sana
Serikali: Tutaendelea kununua VX V8 kwa viongozi wa serikali magari mengine hayafai na hayana ubora