Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume


Prado ikifika 120 km/hr inapaa, gari ni jepesi sana.
 
Mkuu, hata Fozzy ya kimama? Au unaongelea Toyota tu?
 
Prado ikifika 120 km/hr inapaa, gari ni jepesi sana.
Duh, sasa mbona mi huwa naona zinatupitaga kwa kasi sana tukiwa highway hasa Iringa Road ama njia ya kuelekea Moshi tena ni zile TX za kuanzia 2012-2017. Mbona huwa zinakuwa mwendo sana na hazidondoki tukaona.

Au unazungumzia Prado za mwaka 1998-2004
 
Crown Majesta,2017 acha kbsaaa asee,hata prado silitaki,hii kitu imekaa imekaa imekaaa zaid hata ya benz japo benz ni kitu kingine,
 
Mkuu una mahaba sana na prado.. Ile body ndiyo inayo wachanganya wacha watu ila hamna kitu kule..

Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…