Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.
IMG_5308.jpeg
 
Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.View attachment 3237669
Wanawake bana,muda wote wanakula ma-P2,anafika umri wa kulea wajukuu ndio anaanza kuzaa,.......hajui kuwa huo umri ni risk kubwa ya kupata watoto wenye congenital defect,hata kama risk inaongezeka kwa 2%,ni kubwa sana hio
Kitu kizuri kuhusu Dunia,ni kua bado wapo wanaume watakaoacha wanawake wenye miaka 20,na kwenda kuoa wazee wa miaka 40,hii tunaita life balance
 
Wanawake bana,muda wote wanakula ma-P2,anafika umri wa kulea wajukuu ndio anaanza kuzaa,.......hajui kuwa huo umri ni risk ya kupata watoto wenye congenital defect,hata kama risk inaongezeka kwa 2%
Kitu kizuri kuhusu Dunia,ni kua bado wapo wanaume watakaoacha wanawake wente miaka 20,na kwenda kuoa wazee wa miaka 40,hii tunaita life balance
Lady j d hakuwahi kumezà hayo p2, GGH alikaa nae 15 yrs hadi wakaachana hakupàta mimba, sasa technology imekuwa àmeweza kupàta mimba akiwa 55. Tumwombee apate mjukuu salama.
 
Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.View attachment 3237669
hongera zake, kama ni kweli. First Preg @ over 40 ni changamoto, tumwombee safari salama ya kupata mtoto
 
Back
Top Bottom