Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.View attachment 3237669
Hako kadume asikaache! Maana kasimamia show vizuri!
 
Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.View attachment 3237669
Nini cha ajabu? Kwani hana maumbile au maumbile yake hayaruhusiwi kufanya kazi yake
 
Back
Top Bottom