Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.View attachment 3237669
Pleaseeeee! How, do you know!? From just a Pic!?
Hicho kinaweza, kikawa kitambi tu, wanawake siku hz wanavitambi sana tu
 
Mungu ni mwema kila wakati.

Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.

Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.

Kila la heri kwako.View attachment 3237669
Huyo mwanaume kiboko
 
Error ya +/-1 ni acceptable , is the difference significant?, na ukweli unabaki kuwa pregnancy beyond 40 ni risk, kwa ambao tayari wana watoto it not recommended....
...ila kwake ambaye ameishi bila mtoto na huenda alitamani kuwa nae ni sawa kabisa kuzaa.
..kwa sababu ulijua mwaka wake wa kuzaliwa, ndio maana imebidi niandike kuwa she's not even 46.
 
Wanawake bana,muda wote wanakula ma-P2,anafika umri wa kulea wajukuu ndio anaanza kuzaa,.......hajui kuwa huo umri ni risk ya kupata watoto wenye congenital defect,hata kama risk inaongezeka kwa 2%
Kitu kizuri kuhusu Dunia,ni kua bado wapo wanaume watakaoacha wanawake wente miaka 20,na kwenda kuoa wazee wa miaka 40,hii tunaita life balance
Wivu tu janaume zima.
 
Nilichoona kikubwa Kwa 20yrs ni akili ya maisha plus discipline hakuna hao waliopitia makorongo mengi afadhali wanajitambua,wengine hata usafi wa miili yao changamoto hao 20s
 
Back
Top Bottom