Eti, haina makombo!Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Pengine hatujui Mbasha kafariki........unafungaje ndoa ya kikristu mara mbili bila mume au mke wa awali kufariki
Kikatoliki huwa jamaa akitaka kuoa hutolewa tangazo kwa mwenye pingamizi. Huko hakunaga hiyo???Hatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
View attachment 503172
Single mother with kids from 2 different fathers. He has become a shareholder...Dah inamaana huyu dogo kaenda kujitwika single mother!!
Yaani umenena mkuu. Napigia mistari. Acha Waianae lakini malipo ni hapahapa duniani
Soma aya ya 7.
Makanisa ya Gwajima hayoHivi mchungaji aliyefungisha alikuwa hajui kuwa flora ni mke wa mtu au ndo alishikishwa mtonyo wa maana.....Tutasema ni mchungaji kumbe ni maigizo tu......
wanafanyaje, nitawajua wapi!Wasukuma unawajua au unawasikia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna ulokole hapo, ni usukuma unaofanya kazi
sio mzinifu,si kafunga ndoaKwani hapo si mzinifu?
You can not say for sure, lakini huyu amezaa umati wote unaona, ushahidi usio na mashaka!Haina makombo boss.
Fikra zako tu.
Hata hapo unapopita wewe wenzio kibao wanapita hapo hapo.
Kafunga Ndoa halali?sio mzinifu,si kafunga ndoa
Sasa akatulie kwenye ndoa atutaki kusikia akilia lia tena mara [emoji125] anaonewa, sijui mwanaume anamnyanyasa, sijui mwanaume anataka wasichana wengineo.
Na yule dogo Lazima atataka kupata watoto angalau wawili, sasa sijui Flora Mbasha atakuwa tayari
Yule dogo ndio maana ata katika harusi ana amani akiwaza vitu kama ivyo anakuwa ana amani, na ukijumlisha ndugu tayari washampaka mineno yetu ya kiafrika basi hata katika katika harusi ndio maana kama kapigwa sindano ya ganzi,
Hahah hah hah mkuu vile vitu havina kinyaa wala makombo, likikukuta utakuja na mrejesho hapa!Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!