Punguza ukali wa maneno unapoongea mambo matakatifu,.
Halafu Kuna watu wanakaza misuli ya shingo eti kanisa ni takatifu. Ati ndoa ni kwa mume mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe. Sasa Mbasha kafa? waliofunga hii ndoa ni kanisa, serikali au danguro? Watoa povu njooni hapa kutetea utakatifu wa kanisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadekiiPiga ngozi dogo mpaka iwe nyekundu tena simamia kucha kabsaa kula ugali maharage jion na maji Lita moja kula mzigo mpaka aseme pooo akimbie mwenyewe halafu unaleta vile visichana vyako unakula maisha na upepo Safi
Watu ni mbumbumbu Sana, wanakarili mambo yanayowavutia wao, wanadhani zinaa Mpaka mtu afumaniwe,Tusikariri. Tuchambue. Kwani maisha nini? Hivi Biblia unaisoma kuanzia kitabu gani, ndugu Francoo. Maana ndoa zilikuwepo tangu enzi za agano LA kale ambalo halikutenguliwa na agano jipya bali lilitimilizwa. Hivyo, sio busara kusoma yale tu yanayokupendeza moyoni bali hata yasiyokupendeza maana kwayo utajenga msingi wa kuimarisha utetezi juu ya yanayokupendeza pasipo kuikwaza kweli. Biblia inasema, itafuteni kweli na kweli itakuweka huru. Ukikwepa ukweli utaumia wewe maana kweli haibadiliki.
Huwezi leo kukataa kuwepo yasiyovumilika.
By the way, angebaki pasipo kuolewa kwa faida ya nani? Asiolewe ili kumfurahisha nani? Maana uzinzi upo hata kutamani tu demu anayepita mbele yako, unamwangalia hadi unamzini. Ni uzinzi tu huo kama ulivo wa kitandani au kichakani.
Hivyo, iwapo asingeolewa ni wazi angeendelea kuzini kwa mawazo. Angekuwa ni mtu wa kuelekeza macho yake kwenye suruali za wanaume kuona zinavyotuna kwenye zip. Ameamua sahihi na Mungu ndiye mwenye hatma yake.
Ni vema tukaheshimu maamuzi yake.
Aidha, wengine wanasema kaoa kijana; duuuuuh, kwani kambaka? Ikumbukwe ndoa ni mchakato ambao hata wazazi huridhia, sasa wewe unayesumbuliwa na tukueleweje kama sio wivu?
Somo pana sana. Asante kwa ulivyonielewa maana hili ni somo refu. Sawa na mtu akikuambia Neno na maneno. Tofauti yake sio katika Umoja na uwingi bali katika bible ni vitu viwili tofauti. Na kila moja lina nguvu tofauti.Umesema vyema Nsibhwene ila kuna kitu wengi mnashindwa kutofautisha, kati ya neno kweli na ukweli....kweli ndiye Yesu Kristo, na neno kweli katika Biblia ni tofauti kbs na neno ukweli/kweli ambayo inatumika sana ktk maongezi ya kawaida!
'Kweli itakuweka huru, ikiwa na tafsiri ya Yesu Kristo atakuweka huru'
Ukiwa na vijisenti ni rahisi sana kuvaa hayo magauni kwani marioo hapa mjini wapo wa kumwaga tu yaani nigharamie nikupe unachokitakaKuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Watu wanapaswa jiuliza Ndoa ilipoteza misingi yake patakuwa na Faida gani, Ndoa ilopoteza misingi ni chukizo Kwa Mungu maana hata kumtumikia Mungu haiwezekani, kifupi mnakuwa jehanum ndogo,halafu watu wanaongelea ya upende mmoja hasa kuhusu alomkosea mwenza na hawaelezei juu ya alokimbiwa, vifungu wanavyotoa ni vya anae acha, hawaongelei hatma ya anaeachwa,Hakuna adanganyaye hapa na hakuna anayeweza kulithibitisha hilo unalotaka kutuaminisha kuhusu ndoa. Huwezi kuishi maisha ambayo yanamakwazo mwanzo mwisho ati ukajidanganya kuwa katika mazingira hayo unaweza kumtukuza Mungu.
Na nani kakwambia kwamba Flora kwa uamuzi huo atakuwa kahaba katika maisha yake? Suala la maisha ni kitendawili kigumu sana ndio maana hata wajuvi wa dini wakaamua kutuficha baadhi ya mambo mazito yaliyo nyuma ya maandiko kwa sababu kuna a lot of confusion. Huwezi kuendelea kuishi na mtu ambaye unaona kabisa ni makwazo mwanzo mwisho. Yule amkwazaye aliyefanywa kuwa mwana ni heri akafungwa jiwe la kusagia na kumtosa katika kina kirefu cha bahari. Kwa maana hiyo, Neno la Mungu halijakaa kimya kwa wakwazao wenzao, kuna adhabu kwa wakwazao wana wa Mungu. Hapa ama ni Mbasha katoswa kwenye kina kirefu au ni flora.
Katika makwazo ya kimahusiano utawezaje kumtumikia Mungu katika roho na kweli. Zaidi utakuwa ni unafiki. Ndio maana hata katika ufunuo wa Yohana ujumbe kwa kanisa LA saba ilikuwa ni akheri uwe moto au baridi maana ukiwa vuguvugu nitakutapika utoke kinywani mwangu.
Flora amekuwa ama moto au baridi na sio vuguvugu. Sasa ni Mungu mwenyewe anajua kati ya baridi na moto kipi ni chake. Akili na mawazo ya Mungu sio ya binadamu. Huenda unayemtuhumu na kumhukumu Flora umekuwa vuguvugu.
hii imenifanya ni cheke kwa sauti kubwaa mnoHahaaa [emoji23][emoji23]flora kapata ki ben10
Hadi kufikia kumruhusu kufunga ndoa that actually means they are happy for their brave son to jump into marriage na huyo mshangazi.One sided marriage... sijui wazaz wa huyo dogo wanajisikije..?
Hilo chungaji nalo senge tuHivi mchungaji aliyefungisha alikuwa hajui kuwa flora ni mke wa mtu au ndo alishikishwa mtonyo wa maana.....Tutasema ni mchungaji kumbe ni maigizo tu......
Vzr Kiby, bila shaka mistari hii imesapoti maandishi yangu!.
Mathayo 19
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
.
Kama huyu Yesu(kweli). Hakufanikisha kumweka huyu Flora huru, ni nnani mwingine awezae?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kurra nomanyere ekebhombo, uwe no weito kimwi[emoji12]kibumbu=ekebhombo? = papuchi? nimecheka sana[emoji12]
Hivi nyie vijana wa siku hizi mna subra hiyo. Mnaanza kuonjana hata kabla ya kuwa wachumba. Mbaya zaidi sherehe za siku hizi unakuta wanawake wanaolewa wote wana kuwa na matumbo makubwa kuliko waume zao.Gauni la Bibi harusi aka shela kuwa jeupe maana yake Bi harusi ni bikra yaan hajaliwa papuch ( mchungaji aliyefungisha ndoa hii unalijua hili?)