Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseeeh, ni kivumishi kiunganishi na pia kihisishi. Arusha neno aiseeh linatumika saana. Siwezi kuzungumzia mazungumzo yasiyo rasmi hata sekunde 40 bila kutaja aseeeh.
Ashe nale ndito.Kumbe! Ndomana naiona sana..Wabejaaa kijana
haiwezekana kale katoto kakachumbia bibi yule, never, katamkuta wapi? Wewe unadhani unaweza kutana na mtoto wa JPM mitaani? ukamchumbie?Vipi rais wa french? Daud Kusekwa ndo kachumbia siyo Flora
Ahahahahaaaaa.....!!Dah inamaana huyu dogo kaenda kujitwika single mother!!
Hahahaha! Umeniacha SijaelewaAshe nale ndito.
Mbona tumeletwa uku????Ashe nale ndito.
Asante mkuu(mtoto wa kike) maasai is masculine language. Ina ubaguzi wa jinsiaHahahaha! Umeniacha Sijaelewa
Wameunganisha nyuzi zinafananaMbona tumeletwa uku????
Asante mkuu(mtoto wa kike) maasai is masculine language. Ina ubaguzi wa jinsia
Wameunganisha nyuzi zinafanana
Yes ndito= bintiInamaana ilo neno ulotumia apo juu,ni lakumshukuru Mtoto wa jinsia ya kike ama?
Na kwa mwanaume?Yes ndito= binti
Dahh sijui lini na Mimi itafika, shunie awe SHUNIE KIDEKOHatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
View attachment 503172