Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Yaani kila siku hapa jf tunawashauri vijana wenzetu kuhusu single mother cha kushangaza wanaendelea kuwaoa.Ombi langu serikali ya magufuli itusaidie katika hili
 
Yaani kila siku hapa jf tunawashauri vijana wenzetu kuhusu single mother cha kushangaza wanaendelea kuwaoa.Ombi langu serikali ya magufuli itusaidie katika hili
janet mwenyewe ni singo mama .........................

huyo mtu hawezi kusaidia familia yake mwenyewe hawezi kuiendesha
 
Nahisi huyu dogo haijatoka ndani ya moyo wake kabisa kwamba alimpenda na alihitaji kumuoa huyu Dada. Inaonyesha Flora katumia nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa huyu dogo mpaka dogo akalainila. Na hata ukiangalia maandalizi na matangazo ya harusi hii yametumia nguvu kubwa sana ya Flora. Lakini pia nahisi dada huyu kafanya vile kama advertisement fulani hivi kwa Mbasha na kumwonyesha kwamba mimi si wa mchezo na sasa nakuonyeshea.
 
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Huwa inatokea Sky Éclat, si unakumbuka yule dada aliyebahatika kuolewa na marais wawili: Samora Masheli na Mzee Mandela (Da, Graca)
 
ila mbasha alimvumisha dadeki .. flora kusekwa ha h hahha hata haliji
 
Back
Top Bottom