uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Single mother ana tatizo gani kwani???Dah inamaana huyu dogo kaenda kujitwika single mother!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single mother ana tatizo gani kwani???Dah inamaana huyu dogo kaenda kujitwika single mother!!
Mwenzio atapiga sana tu, tena na NaCo3 (uvinza) ataingia bila soni!!!Akina Daudi wote ni fafafafaaaa tupu...kichwa nazi, huwezi enda zowa makombo ya mtu uanze kula kama wewe siyo fafafafaaa..
Tena upande wa ma maids kulikuwa na watoto was nguvu saizi yake!Ameacha watoto wabichi anamuoa bibi
janet mwenyewe ni singo mama .........................Yaani kila siku hapa jf tunawashauri vijana wenzetu kuhusu single mother cha kushangaza wanaendelea kuwaoa.Ombi langu serikali ya magufuli itusaidie katika hili
hahah mbona nataka kuokoka hapa nilipoMtu akikuita Mlokole amekudhalilisha sana..
Siyo kusweka mkuu I kusekwa. = kuchekwa.Kuswekwa = kugongomekwa/kuingizwa pasipo ridhaa.
Utaswekwa lupango.
Ok.Siyo kusweka mkuu I kusekwa. = kuchekwa.
14 yrs.Flora kamzidi miaka mingap huyo dogo
Daaah!!14 yrs.
K' Hainaga MAKOMBO mkuu Kinyaa kinatokea wapi?Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Ku [emoji38] [emoji39]Unajua maana ya Kusweka?
Huwa inatokea Sky Éclat, si unakumbuka yule dada aliyebahatika kuolewa na marais wawili: Samora Masheli na Mzee Mandela (Da, Graca)Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Naomba nikuulize kwanini?Aaaaah wokovu ni kazi tukio hili la Flora kuolewa mara ya pili huwa linanifanya niwaze sana msiniulize kwann ni story ndefu...
Hapo naona walishafanya mazoezi tayari maana bila mazoezi huwezi kufanya jambo hilo LA kudendana mbele ya watu! Amekiuka mwiko! Wakristo hatufanyagi mazoezi kabla!Comrade naona vijana wanajaa kwenye frem hapo