Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Mimi nilichopenda pale kwenye kiapo hawajasema " hadi kifo kitutenganishe" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila bora kaolewa tu, kukaa bila mwenza maishani ni adhabu kwa kweli
 
Oya ' Masela ' tuliokaa Chuo Kikuu miaka ile ya 1988 hadi 1992 hasa Mtaa wa KILELENI kule juu Mlimani huyu Daudi Kusekwa siyo yule tuliyekuwa tukimpiga sana ' Makwenzi ' ambaye alikuwa na Dada yake Bonge hivi aitwae Penina? Hii sura sasa naanza kuiangalia naona kama vile niko ' familiar ' nayo. Msaada jamani kwa wale wenzangu na Mie wa Kitaa cha Chuo Kikuu ' kitambo ' kile.

Yes huyu ni Daudi kusekwa junor,, yaani baba yake ndio ulisoma naye
 
Yes huyu ni Daudi kusekwa junor,, yaani baba yake ndio ulisoma naye

Acha ' Bangi ' basi Mkuu sawa? Maelezo yangu ya awali yamejitosheleza kabisa unless unataka tu kujiingiza mwenyewe katika ' frame ' nikuwashe vizuri.
 
3bcbf280bda908563f5e81a713fedc49.jpg
 
Bibi harusi bayaaaaa,kwanza limelaaniwa kuliko waimba kwaya woote wanaoimba kwa minajili ya kupigs mkwanja km kawaida yao
 
pumzika kwa amani mzee kulola. afadhali ulitangulia mbele ya haki. fedheha hii ungeiweka wapi? na huyo bwana arusi ana wazazi? au alizaliwa na mwanasesere? ni aibu
 
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Is this a Luck Sky Eclat ?.

Nadhani kulivaa si tatizo.Pia kutolivaa siyo fedheha.Jambo la msingi ni kuielewa mantiki ya vazi hilo.Baada ya hapo unakuwa umeuishi uhalisia na siyo ku-fake reality.

By the way,All The best Miss Flora.
 
Back
Top Bottom