Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Aseeeh, ni kivumishi kiunganishi na pia kihisishi. Arusha neno aiseeh linatumika saana. Siwezi kuzungumzia mazungumzo yasiyo rasmi hata sekunde 40 bila kutaja aseeeh.

Kumbe! Ndomana naiona sana..Wabejaaa kijana
 
Vipi rais wa french? Daud Kusekwa ndo kachumbia siyo Flora
haiwezekana kale katoto kakachumbia bibi yule, never, katamkuta wapi? Wewe unadhani unaweza kutana na mtoto wa JPM mitaani? ukamchumbie?
 
Asante mkuu(mtoto wa kike) maasai is masculine language. Ina ubaguzi wa jinsia

Inamaana ilo neno ulotumia apo juu,ni lakumshukuru Mtoto wa jinsia ya kike ama?
 
Imeandikwa katika Luka 16:18
Kila amuachae mke wake na kumuoa mwanamke mwingine anazani, na kila umuachaye mume wake na kuolewa na mume mwingine anazini..asema bwana

Hili ni neno la bwana..
 
Iyo ndoa haina baraka za mungu,bal za mahakama, flora kumbuka malpo n hapahapa dunia, watu wameiongelea sna ndoa yako kwa mtazamo hasi,
 
Frola Mbasha lilikua jina zuri zaidi kuliko Frola Kusweka! Unaswekwa wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…