Siyo mbaya mkuu ila anatafakar hv mimi ndiyo nayafanya haya!Mbona Flora amekuwa mbaya hivyo?
Mungu anisamehe ila amekuwa kama Maiti usoni.
Mmh Ndoa iyooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Frola Mbasha lilikua jina zuri zaidi kuliko Frola Kusweka! Unaswekwa wapi sasa?
Kusweka jelaFLORA MBASHA KUSWEKA
Leiguanan atakuwaje.. mkuryaUnazingua ujue
Wewe ni mutu ya Mara?
Oya ' Masela ' tuliokaa Chuo Kikuu miaka ile ya 1988 hadi 1992 hasa Mtaa wa KILELENI kule juu Mlimani huyu Daudi Kusekwa siyo yule tuliyekuwa tukimpiga sana ' Makwenzi ' ambaye alikuwa na Dada yake Bonge hivi aitwae Penina? Hii sura sasa naanza kuiangalia naona kama vile niko ' familiar ' nayo. Msaada jamani kwa wale wenzangu na Mie wa Kitaa cha Chuo Kikuu ' kitambo ' kile.
Basi maneno yanalandanaLeiguanan atakuwaje.. mkurya
Yes huyu ni Daudi kusekwa junor,, yaani baba yake ndio ulisoma naye
Is this a Luck Sky Eclat ?.Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Na atalivaa tena.....coz ht hii itavunjikaIs this a Luck Sky Eclat ?.
Nadhani kulivaa si tatizo.Pia kutolivaa siyo fedheha.Jambo la msingi ni kuielewa mantiki ya vazi hilo.Baada ya hapo unakuwa umeuishi uhalisia na siyo ku-fake reality.
By the way,All The best Miss Flora.
Kwanini unatabiri?.Huoni kuwa si vizuri kumtabiria mtu mabaya?.Na atalivaa tena.....coz ht hii itavunjika