HaahaaaaHapo mwisho jibu utakalopata litakufamya uelewe kwanini kijana ameoa
Sadaka yangu niliyokuwa natoa inaniuma sana!
Nitakuwa makini sana na mtu yeyote akitamka neno Sadaka karibu yangu...Ndiyo maana unajiua per your avatar ama?
Nitakuwa makini sana na mtu yeyote akitamka neno Sadaka karibu yangu...
Shuleni mkuuhaiwezekana kale katoto kakachumbia bibi yule, never, katamkuta wapi? Wewe unadhani unaweza kutana na mtoto wa JPM mitaani? ukamchumbie?
Watu wako vizuri kwa timing jamani huyu camera man wakutafutwa nimpe tenda [emoji2]
Huyu jamaa mbona anafanana na daby?Hatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
View attachment 503172
Utaruhusiwa kumsogelea kienyeji?
Kws hiyo hatongozeki?Utaruhusiwa kumsogelea kienyeji?
nimeishangaa hii ndoa ya flora mchungaji mwenyewe kakaa kimagumashiHivi ndoa unafungia popote tu?
Hahahaha mkuu....kibumbu=ekebhombo? = papuchi? nimecheka sana[emoji12]