BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Wala vinapata raha na kuwa imara rejea sheria ya Darwin'sHekima na busara zikipungua kichwani viungo vya uzazi huumia zaidi
Hainaga Makombo hiyo.Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Hivi sheria za kanisa zinaruhusu mwanamke kuolewa Mara 2Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Sasa jiulize kwanini Huyo Mchungaji akakubali kufungisha hiyo ndoa, kama si Ungumbaru?Ni aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,
lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.
Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
Leta ubuyu huoAaaaah wokovu ni kazi tukio hili la Flora kuolewa mara ya pili huwa linanifanya niwaze sana msiniulize kwann ni story ndefu...
Hivi kati yake na mbasha nini kilitokeaKama aliweza kumfanyia mbasha umafia kama ule bac hata huyo tusubir yatamjia tu.
Kifupi kuna mtu tunapendana na kaachana na mumewe na mumewe yupo hai bado sasa nikifikiria haya ya Flora wanaposema hayuko sahihi kufanya hayo ndiyo nachoka kabisa mm nakosa raha.Leta ubuyu huo