Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Huyu dada muuji ana roho ngumu kugawa kama pipi..wakristo hatunaga ndoa 2 hii ni fake.
Na huyu boy kafuata mpunga au kafanywa zoba kwa kulishwa limbwata anaenda kuoa kikongwe mwenye watoto wakati chura wa kumwaga hadi maji ya chumvi wengine wanakosa maji.
Boy haoni kinyaa kwa kuoa scraper??
 
Kutumia ubini wa mume kumeshapitwa na wakati,hayo waliyaweza mama zetu ambao walikuwa wakiolewa ndo basi tena,hata afiwe na mumewe anabaki kulea wanae tu hawazi kuolewa tena.
Sasa ndo nini jana Flora Mbasha leo Flora Kusweka,waache hizi mambo,watumie majina ya baba zao tu
 
Kila LA kheri Flora. Maisha ni yako ma maisha ni wewe. Huwezi kuishi maisha ya wengine maana utakuwa mtumwa wa wengine hadi kufa. Umefanya uamuzi sahihi, songa mbele na endelea kumtukuza Mungu maana kila jambo lina maana yake. Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu.
Usiruhusu mtu yeyote awaye kuhoji juu ya maisha yako. It's you and only you.
 
Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
 
Biblia imetoa kifungu gani cha utaratibu wa kufungisha ndoa?.Hebu ntajie kifungu.
 
Mbona bwana harusi kama katekwa? Na ajiandae, Ikiisha honeymoon madam anaanza matamasha na mzee wa kuamsha dude
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mmenishinda tabia
 
umetudanganya live
sema hupendi kubadili jina
siyo kubadili jina kumepitwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…