Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hapo kwa kweli ukioa wa hivyo,usinipe kadi ya mwaliko....huo ubest wa u team popo na ufe tu.
hahahaha
yaan nimecheka had nimeamsha majirani
nimeona hata hapo kwa flora viti vitupu
 
Prophecy... Prophecy.. Prophecy...... [emoji23] [emoji23]
 
Acha ujuaji.Huyo anayefundisha dini.ndo kaharibu ndoa ya huyo Dada.ni maamuzi sahihi.kama mbasha hamtaki.mke wake.ulitaka flora awe anazini?
 
lakini ni option ya kifo tuuu, ndio huruhusu ndoa ya pili.
ila masuala ya talaka yanataka mlo talikiana mkae hvo hvo single.
Uko sahihi kabisa! Biblia haijaruhusu kabisa kuacha mke/mume kisha ukaoa tena.
Biblia imeruhusu kuacha mke/mume kwa ajili ya zinaa lakini huyo aliyeacha/achwa asioe/asiolewe ili kutoa nafasi ya kusameheana na kurudiana. Hakuna kuoa/kuolewa tena mpaka kifo kitakapowatenganisha!
Lakini kuna mazingira ambayo biblia huruhusu kuoa/kuolewa. Mazingira menyewe ni kuwa ikitokea mmoja ya wanandoa si mwamini wa ukristo, na huyo asiyeamini akaamua kuondoka kwenye ndoa, yule aliyeachwa katika mazingira hayo anaruhusiwa kuoa/kuolewa tena! Lakini mwamini haruhusiwi kuondoka kwenye ndoa hata kama mwenzi wake si muumini wa ukristo ili maadam yuko tayari kukaa naye!
 
MTU hufungwa kwa kamba za kinywa chake! Ukiapa inakuwa hivyo hata kama ulikuwa unadhani unatania! Ukiunganishwa umeunganishwa maana umetoa nafasi kwa kinywa chako kuunganishwa! Suala kuwa ulikuwa unadanganya halipo Bali ulikuwa unaidanganya nafsi yako mwenyewe! Na utavuna matunda ya udanganyifu kwa kujifunga kwenye ndoa mpaka kifo kikutenganishe! Vinginevyo utakuwa umeikana IMANI na sahau habari ya kufika mbinguni!
 
Sitakaa nifanye huo upuuzi wa kubadili jina la ubin wangu! Ndoa zenyewe ni za kukaa mguu ndani mguu nje.
Mbali na hapo nchi yenyewe haieleweki unaweza shangaa unatumbuliwa bure eti watumia cheti feki.
Uwe na IMANI kwanza ndo Mungu anakupa unachokiamini! Ukiamini katika ndoa ya mguu mmoja ndani na mwingine nje ni kweli utapata ndoa ya mguu mmoja ndani na mwingine nje!
Ukiamini kuwa utapata ndoa ya kudumu hadi kifo kiwatenganishe Mungu atakujalia ndoa ya kudumu! Maamuzi ni yako maana siku zote utapata kile unachomiamini!
 
Kwa habari ya uzinzi ni halali kuachana na si kutalikiana! Hakuna kitu kama talaka kwenye ukristo! Lakini pia hakuna ruhusa ya kuoa au kuolewa kwa walioachana kwa sababu ya zinaa Bali wana ruhusa ya kurudiana!
Andiko linaloruhusu kuachana kwa sababu ya zinaa halijaruhusu kuoa tena! Kasome tena biblia yako!
 
Hiyo ilikuwa harusi kati grandmother and grandson
Shame on you Flora Mbashaaaaaass
 
Ndoa ya kikristo inavunjika kwa sababu mbili
Uasherati
Kifo
Sasa kama mbasha alibaka, unataka nini tena!
Ndoa ya kikristo haivunjiki kwa sababu ya uasherati/zinaa. Kwa mujibu wa biblia kuachana si kuvunjika kwa ndoa! Kinachovunja ndoa ni kifo tu maana baada ya kifo hakuna tena nafasi ya kurudiana! Lakini biblia inatoa ruhusa ya walioachana kwa sababu yoyote ile ikiwemo zinaa kurudiana tena maana kuachana kwao hakukuvunja ndoa!
Anayeamini katika ukristo huwa havunji ndoa! Kuvunja ndoa ni alama mathubuti ya kuuasi ukristo na imani yake! Wahusika tuendelee kuwaombea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…