bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Kanisa sio jengo mkuuHawafungia kanisani lakin
View attachment 503185
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa sio jengo mkuuHawafungia kanisani lakin
View attachment 503185
Hii kauli huwa naipinga Vikali sana!!Wenyewe wanasema fata maneno yangu usifate matendo yangu!!!!
UIkiamua kula nguruwe chagua aliyenona hata mimi nikiwa na pesa kwenda kuchikua pensioner wa niniKwangu naona kama vile mchanganyiko wa ndoa na 'adoption', phenomenon ambayo haijapata jina.
Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Mtoto mdogo kulinganisha na yule mama! Kwa mzee mwenzke it is Ok, kwa mtoto mdogo hapana!Kaka haina makombo ile kwa kawaida, ikioshwa inarudi upya.
Mwache nae aendeleze Mbasha alipoishia.
Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry 'Madam Flora' amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.
una rahisisha mambo, iman ya kikristu haipo ivo mkuuKila LA kheri Flora. Maisha ni yako ma maisha ni wewe. Huwezi kuishi maisha ya wengine maana utakuwa mtumwa wa wengine hadi kufa. Umefanya uamuzi sahihi, songa mbele na endelea kumtukuza Mungu maana kila jambo lina maana yake. Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu.
Usiruhusu mtu yeyote awaye kuhoji juu ya maisha yako. It's you and only you.
Na ataendelea kutiwa sugu kwa kuswekwa!!!Na kweli jamaa wanasweka haswa huyu Flora.
Sawa kabisa Lkn kutengua kupo na zipo sababu sahihi za kutenguaNdoa ya kikristo inavunjika kwa sababu mbili
Uasherati
Kifo
Sasa kama mbasha alibaka, unataka nini tena!
Hawawezi kunijibu maana ni mafarisayo, wanakarili na si kuelewa, japo wanajifanya kujua, hawajui hata misingi ya Ndoa wanakarili vifungu vichache,Umeuliza swali la msingi mkuu naamini wakakapokujibu itanisaidia na mm kupata majibu
Na vp km mwanandoa mmoja atakuwa kuingia kwenye Ndoa na kukiri viapo kiutapeli Yaani hakuwa na Nia ya dhati ya kuishi milele,aliitika ama kuingia ili kutimiza jambo na hii unasemajeUko sahihi kabisa! Biblia haijaruhusu kabisa kuacha mke/mume kisha ukaoa tena.
Biblia imeruhusu kuacha mke/mume kwa ajili ya zinaa lakini huyo aliyeacha/achwa asioe/asiolewe ili kutoa nafasi ya kusameheana na kurudiana. Hakuna kuoa/kuolewa tena mpaka kifo kitakapowatenganisha!
Lakini kuna mazingira ambayo biblia huruhusu kuoa/kuolewa. Mazingira menyewe ni kuwa ikitokea mmoja ya wanandoa si mwamini wa ukristo, na huyo asiyeamini akaamua kuondoka kwenye ndoa, yule aliyeachwa katika mazingira hayo anaruhusiwa kuoa/kuolewa tena! Lakini mwamini haruhusiwi kuondoka kwenye ndoa hata kama mwenzi wake si muumini wa ukristo ili maadam yuko tayari kukaa naye!
AiseeWewe ndo hauijui biblia! Kwenye biblia hakuna kuachana. Hata ikitokea kuachana kwa sababu ya zinaa hakuna kuoa au kuolewa tena kama mume au mke bado yu hai!
Usimuhusishe padre kwenye ujingaPadri
Sijawahi ona umecoment upuzi una heshma kama nakuona vile uhalisia wako mkuuKila kitu kinawezekana mbele ya Mungu mummy.
Umeongelea adhabu ya tapeli alodanganya hii kila MTU anajua, sasa imefika mahali tapeli kaamua kuvunja Ndoa baada ya kutimiza azma, Vipo juu ya mwenza wake alokuwa na dhati?MTU hufungwa kwa kamba za kinywa chake! Ukiapa inakuwa hivyo hata kama ulikuwa unadhani unatania! Ukiunganishwa umeunganishwa maana umetoa nafasi kwa kinywa chako kuunganishwa! Suala kuwa ulikuwa unadanganya halipo Bali ulikuwa unaidanganya nafsi yako mwenyewe! Na utavuna matunda ya udanganyifu kwa kujifunga kwenye ndoa mpaka kifo kikutenganishe! Vinginevyo utakuwa umeikana IMANI na sahau habari ya kufika mbinguni!