Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hivi nyie vijana wa siku hizi mna subra hiyo. Mnaanza kuonjana hata kabla ya kuwa wachumba. Mbaya zaidi sherehe za siku hizi unakuta wanawake wanaolewa wote wana kuwa na matumbo makubwa kuliko waume zao.
Kwa ujumla jamii imekengeuka na kwa hakika hapa ndipo utakuta mila zetu zilikuwa na nguvu sana kuliko hata mafundisho ya sasa ambayo katika hili yamepoa. Hakuna enforcement dhahiri. Zamani Bikra walikuwa hawatafutwi kwa tochi lakini siku hizi, mmmmh!
Kwa mila zetu za kiafrika haya Hayakuwepo
 
Sasa akatulie kwenye ndoa atutaki kusikia akilia lia tena mara [emoji125] anaonewa, sijui mwanaume anamnyanyasa, sijui mwanaume anataka wasichana wengineo.
Na yule dogo Lazima atataka kupata watoto angalau wawili, sasa sijui Flora Mbasha atakuwa tayari

Yule dogo ndio maana ata katika harusi ana amani akiwaza vitu kama ivyo anakuwa ana amani, na ukijumlisha ndugu tayari washampaka mineno yetu ya kiafrika basi hata katika katika harusi ndio maana kama kapigwa sindano ya ganzi,
Atazaaaa, akisha maliza atanwacha mme wake. Na atajitahidi amzalie japo watoto wawili ili awe huru kuolewa tena.
 
Kuonyesha Msisitizo wa swali
Aseeeh, ni kivumishi kiunganishi na pia kihisishi. Arusha neno aiseeh linatumika saana. Siwezi kuzungumzia mazungumzo yasiyo rasmi hata sekunde 40 bila kutaja aseeeh.
 
Sijui ndio ulimbukeni wa maisha ama vipi ... Hata sipati jibu.
 
Back
Top Bottom