Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hapo naomba unifafanulie kidogo mkuu, maana tumesha saini hukumu, japo baada ya 45 days itakaziwa rasmi. Je una maanisha kuna uwezekano mdai akakata rufaa kupinga matakwa yake mwenyewe? Kwamba alitaka taraka na sasa hataki??
NAKAZIA,WALE WALIKUWA NA LENGO LINGINE KABISA USIKUBALI MSAMAHA.KUNA JAMBO KUBWA WALILIPANGA WALITAKA KUKUFANYA KAMA HUNA NDUGU WALA WAZAZI WAKUTAWALE NA KUKUNYONYA.AU NI WACHAWI?
 
Mkuu umedadavua kwa undani haswa,naona bora iibuke chuki kubwa baina ya wanawake na wanaume.Mimi nilikimbia nyumba kitambo sana na bado maisha ya wanangu yalivurugwa sana.Hata nilipotoa matumizi hayakwenda ipasavyo.KUTAKUWA NA CHUKI KUBWA SIKU ZA USONI.
 
" Hit and run for life"
 
Ila kaka hongera kwa maamuz magumu, sema uwe nae mbali sana.. Ataanza kukuchokonoa.
1 sisi wanaume ni kama wajeda popote kambi. Ko endelea na upambanaji kama kawaida, uchumi utalevel up, kumbuka nyuma ulianza polepole kujitafta.

2 toa hyo shem kichwan ucjutie kwa lolote, mshukuru M-ngu. yaelekeze hayo maumivu alokupa kweny upambanaji hku ukimwomba M-ngu. utaona baraka zinavomiminika.

N.K yf wako hataacha kukufatilia kua makin MKUU, na mim ndo nilikua mme mwenza kwako, sahiv tu nampga teke la punda namwacha baada ya kumwona ni mjinga hana msimamo anafata maneno ya kuambiwa(JOKE)
 
Sasa hapo pamoja na kwamba yeye kadai talaka lakini nakuhakikishia hatalala usingizi, ile hali ya mawazo uliyokuwa nayo wewe ndio itamrudia yeye, hapo atakuwa anajiuliza huyu mbona kakubali fasta hivi talaka itakuwa ana mwanamke mwingine tayari. Hiyo pain itamla kweli kweli

Na sasa ataanza kuwa ana adabu kwako hata akikusemesha atakusemesha kwa heshima sababu ameona unaweza kuamua. Soon ataregret na kuanza kujipendekeza tena kwako but move on sasa hata akikupigia simu usipokee mwambie atume text tu ila kama kuna dharura ya watoto ndio upokee
 
Hizi nyuzi wanawake wanakuwa wachache sana, are they guilty, at fault, do they regret au shida nini...
..we learn a thing or two here!!
Hatuchangii sana kwasababu wanaume huwa ni chanzo cha wanawake kuteseka kwenye ndoa.

Mnachepuka sana halafu mnaomba misamaha tunawasamehe lakini vinyongo tunaweka moyoni tunaogopa kukimbia ndoa kwa sababu kadhaa.

Siku hizo sababu kadhaa tukizipatia ufumbuzi tunakimbia ndoani, mnabaki kutusema hamjaona kosa lenu huku mnasahau makosa ya zamani ambayo sisi huwa tunarundika moyoni.

Naamini Fanton Mahal kuna sehemu alizembea na wajanja wakatumia huo mwanya kuruka na mkewe.
 
Uncle wangu aligawana mali na wife wake baada ya takaka, Wife akachukua nyumba na gari Escudo.

Kwa kuwa hiyo nyumba wife aliyopewa ilikuwa kwenye fence moja na nyumba nyingine aliyobaki nayo mume, wife akamuuzia mume ile nyumba ya mgao wake.

Wife akaenda kuishi na hawara wake ambaye mume aliwafumania kwenye banda la kuku.

Baada ya mwaka tuu wife kamaliza ile pesa ya kuuza nyumba, akauza ile gari, baada ya pesa kuisha hawara akamfukuza, sasa hivi wife anauza mitumba mnadani kachoka hatare. Mume yeye alioa mke mwingine na wamezaa watoto 2.
 
Mbona kwa hii issue mwanamke ndiye amechepuka...na ndiye chanzo cha hayo yote.
 
Mbona nyuzi nyingine tunaenda sawa?
 
Ukishakua na akili za utu uzima utakuja kuyaelewa haya, kwasasa wewe mdogo angu bado sanaaa, una safar ndefu mnoo kwenye maisha hasa ya mahusiano na zaidi ndoa. Be watchful na kimbia haraka uachane na hii mitazamo toxic ya kijinga ambayo naona ushaanza kuwa nayo. Nimekuonya kama kaka yako, zingatia
 
Sio wajanja wale ni virus alowaluhusu waingie huyu mke ambaye si mwaminifu na mvumilvu kwa mmewe anaefanyia kaz mbali nae..
 
Sawa mkubwa.
 
Wanawake wenye miaka 23, 24 na 25 wanapenda kutumia sana hiyo kauli ya mke akikosea, mwanaume ndiye aliyezembea. Bila shaka na wewe upo humo humo. Ipo siku utatambua tu umuhimu wako kwenye kuilinda familia ila ukiendelea na hiyo mitazamo, familia itakushinda.
 
Hayo mambo ya mwanamke pekee ndie akae kuilinda familia siku hizi hayapo.
Wote tulinde familia mwanamke na mwanaume.

Ndio maana talaka ni nyingi siku hizi sbabu wanawake wengi hawapo tayari kuteseka kwa kigezo cha kulinda familia.
 
Pole sana Kaka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…