Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Kiama ya wanaume, endeleeni na ushabiki wa mipira na kunywa energy drinks mtajakuta mko mavumbini mkichapwa mijeledi na so called " sweetie, Angels, number one, laazizi. Etc.

Wapinzani wenu hawalali Wala kusinzia.
 
Hakuna alichozembea Fanton Mahal maana maamuzi ya huyo mke kuchepuka yalikuwa yake mwenyewe na faida zake. ephen_ ulitaka jamaa amfunge ndani kama kuku?
 
Mmmmhhh KUANZA UPYA SI UJINGA,,, ila kuna vit VITACHELEWA SANAAA,,, akiomba msamaha fanya jambo maisha haya jawah kueleweka na hayata eleweka TUNAISHI SEHEMU NDOGO SANAAA YENYE furaha kiduchu,,,,, upendo utamalaki juu yako
 
Watu wameajiri wafanyakazi WA ndani, watunzi bustani, n.k.
Au wewe unaishi wapi?

Watu wafanye Kazi
Wangapi kwenye maisha yetu wamefanya hivyo? Hata kama kuna wasaidizi unataka kusema huyo mwanamke hafuatilii kuangalia kama kila kitu kinafanyika the way she likes? After all familia ngapi hapa Tanzania zenye wanawake wa nyumbani wameajiri wasaidizi?
 

Pole sana mkuu.
 
Sasa kama wewe mwanamke mwenzao unasema hit and run mimi ni nani nikupinge neno lako πŸ˜…nalichukua nitahin and run wote kama
Daah Leo umeonyesha uwanaume kamili nimefurahi kuona upo stable Kias hicho

Ayo yamemstaajabisha kwakuwa mategemeo yake yameenda tofauti
a
 
Hakuna mwanamke wa namna hii dunia ya leo dada angu. Hayupo. Nyie kabisaaa wakufanya haya,mmhh sidhani, ni wachave sana, unawazungumzia mama zetu
 
Sasa kama yeye ndio kafungua kesi, kadai madai yake na mimi nimempa, shifa iko wapi?
Kama kakubali hukumu na tumesaini kisha akakata rufaa juu ya maamuzi ambayo kimsingi yeye ndio kashinda, huoni hapo yeye ndio anajisumbua? Maana chochote kile mimi nitampa hata akitaka 100% ya mgao wa mali, nitampa tu.
 
Marriage is a scam Wala sitojali kwamba umri utaenda sijui utaenda wap ila swala la ndoa uwiii limenitoka
Kwa maisha ya sasa fuata kile unachopenda. Usiyumbishwe na kauli za 'umri umeenda' mara sijui 'wenzio wote wapo kwenye ndoa' n.k. Mwisho wa siku unapata changamoto na hakuna wa kusaidia.
 
Hivi nikisafiri MWEZI mmoja wajanja wanamla mke wangu??? SASA HUO SIYO UMALAYA??? Umeandika UJINGA sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…