Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Achana nao hao
Hapo mwanaume ulikuwa unafanya kwaajili ya watoto tuu na Ile heshima ya kuona usikubali kuangusha ngome yako kirahisi
Lakini mama kakaza fuvu. Hukuwa na jinsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao hao
SAsa mdogo angu saa hii kweli nianze kukimbizana tena na ndoa kweli ? 😂😂Kaka utaoa tena?
Exactly chief. I decided ku sacrifice for the sake of our kids ila yf hakutaka ku recognize hiloHapo mwanaume ulikuwa unafanya kwaajili ya watoto tuu na Ile heshima ya kuona usikubali kuangusha ngome yako kirahisi
Lakini mama kakaza fuvu. Hukuwa na jinsi.
Hapo ukipata mtu mfanye sogea tuishi ndoa hadi Mungu akijaaliaSAsa mdogo angu saa hii kweli nianze kukimbizana tena na ndoa kweli ? 😂😂
Nitakua nakitafuta kifo tu
Huenda ikawa hivyo piaKuchangia si lazima pengine hawana cha kushauri au walichotaka kuchangia tayari wadau wamesha changia.
💩💩💩 sasa singo maza wewe utaenda wapi tumbo limejaa visu vya leba, kinena kimekomaa kwa kunyoa 💩 utaenda wapi kwapa nyeusi kwasababu ya kuficha chenchi za kununulia vitu sokoni 💩 unataka tu kujifariji useless...Wanaume mkishamzalisha mtu tena mtoto zaidi ya 1 huwa mna vitabia vyenu ambavyo mnaviendekeza mkijua wanawake hawana pa kwenda.
Khaaa! Watu mna maneno🤣🙌💩💩💩 sasa singo maza wewe utaenda wapi tumbo limejaa visu vya leba, kinena kimekomaa kwa kunyoa 💩 utaenda wapi kwapa nyeusi kwasababu ya kuficha chenchi za kununulia vitu sokoni 💩 unataka tu kujifariji useless...
I was there sweetheart let me say again I was there don't tell me about the sweetness of the marrage SCAMMarriage is not a scam madam, mnakutana wawili msiokamilika na kuunda kitu kisicho kamili don't expect a perfect marriage wakati mnakutana wasio wakamilifu.
Ndoa ni nzuri, tena maisha bila ndoa ni magumu yenye sonona kubwa, hasa ukishafika umri fulani wa kuhitaji mtu wa karibu. Marriage is sweet my dear, usiidharau kwa visa vichache vya wadau.
Asante Kwa kunielewaKwa maisha ya sasa fuata kile unachopenda. Usiyumbishwe na kauli za 'umri umeenda' mara sijui 'wenzio wote wapo kwenye ndoa' n.k. Mwisho wa siku unapata changamoto na hakuna wa kusaidia.
A wounded divorcee? Sawa mkuu, upo kwenye kundi dogo la walioumizwa na ndoa..Pole!!I was there sweetheart let me say again I was there don't tell me about the sweetness of the marrage SCAM
nzuri sana.Sio vizuri kusema huna pingamizi live live😅🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Mimi ni mwanamke na nilifanya hiki hiki alichofanya huyu.Nilichogundua wewe ni mwanaume.
Mimi binafsi sipendi mambo ya kesi na kuvutana.
Ukinizingua nakuachia kila kitu napita hivi.
Amani ni bora kuliko mali na mapenzi fake
Una mawazo nukta sana....Kwanini asiliwe wakati wewe mwenyewe huko unakula wengine.
Tit for tat😂Una mawazo nukta sana....
ephen_ usikariri, sio kila mwanaume ni mchepukajiUncle wangu aligawana mali na wife wake baada ya takaka, Wife akachukua nyumba na gari Escudo.
Kwa kuwa hiyo nyumba wife aliyopewa ilikuwa kwenye fence moja na nyumba nyingine aliyobaki nayo mume, wife akamuuzia mume ile nyumba ya mgao wake.
Wife akaenda kuishi na hawara wake ambaye mume aliwafumania kwenye banda la kuku.
Baada ya mwaka tuu wife kamaliza ile pesa ya kuuza nyumba, akauza ile gari, baada ya pesa kuisha hawara akamfukuza, sasa hivi wife anauza mitumba mnadani kachoka hatare. Mume yeye alioa mke mwingine na wamezaa watoto 2.
Mtalaka wangu amhakamani alileta hati ya shamba aliyonunua na mamake, akasema nyumba ni ya familia.Hakukua na mkopo wowote, ila kipindi cha mwanzo nilikua na hasira sana, nikataka ku forge document ionekane nyumba ilichukuliwa mkopo, ila nikakaa na muona nitakua namdhurumu, acha tu nikubali mimi kupoteza
Ooh pole sana, inauma mahusiano ya muda mrefu kufa kwa namna mbaya kiasi hikiMimi ni mwanamke na nilifanya hiki hiki alichofanya huyu.
Yani kama alikuwa anasimulia session ya talaka ilivyoenda kwangu.
Kila neno kila nukta!
Mali tunapata na kupoteza kila siku.
wacha iende