Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Amkimbize wapi? Jikeshupa kaondoka mwenyeweSafi sana kimbiza uyo jike shupa.Sasa ndio atajua ajui MAISHA ya kwenda kudanga kua sio POA.
KAZI ni kipimo cha UTU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amkimbize wapi? Jikeshupa kaondoka mwenyeweSafi sana kimbiza uyo jike shupa.Sasa ndio atajua ajui MAISHA ya kwenda kudanga kua sio POA.
KAZI ni kipimo cha UTU
Hakuna alichozembea Fanton Mahal maana maamuzi ya huyo mke kuchepuka yalikuwa yake mwenyewe na faida zake. ephen_ ulitaka jamaa amfunge ndani kama kuku?Hatuchangii sana kwasababu wanaume huwa ni chanzo cha wanawake kuteseka kwenye ndoa.
Mnachepuka sana halafu mnaomba misamaha tunawasamehe lakini vinyongo tunaweka moyoni tunaogopa kukimbia ndoa kwa sababu kadhaa.
Siku hizo sababu kadhaa tukizipatia ufumbuzi tunakimbia ndoani, mnabaki kutusema hamjaona kosa lenu huku mnasahau makosa ya zamani ambayo sisi huwa tunarundika moyoni.
Naamini Fanton Mahal kuna sehemu alizembea na wajanja wakatumia huo mwanya kuruka na mkewe.
Niliongea in general talaka nyingi wanaume ndio chanzo.Hakuna alichozembea Fanton Mahal maana maamuzi ya huyo mke kuchepuka yalikuwa yake mwenyewe na faida zake. ephen_ ulitaka jamaa amfunge ndani kama kuku?
Hata ikitokea ivyo usithubutu kumrudia mkuu.Hapo naomba unifafanulie kidogo mkuu, maana tumesha saini hukumu, japo baada ya 45 days itakaziwa rasmi. Je una maanisha kuna uwezekano mdai akakata rufaa kupinga matakwa yake mwenyewe? Kwamba alitaka taraka na sasa hataki??
Wangapi kwenye maisha yetu wamefanya hivyo? Hata kama kuna wasaidizi unataka kusema huyo mwanamke hafuatilii kuangalia kama kila kitu kinafanyika the way she likes? After all familia ngapi hapa Tanzania zenye wanawake wa nyumbani wameajiri wasaidizi?Watu wameajiri wafanyakazi WA ndani, watunzi bustani, n.k.
Au wewe unaishi wapi?
Watu wafanye Kazi
Wakuu heshma kwenu.
Habari za jioni.
Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu 👇👇👇👇
Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...www.jamiiforums.com
"Samansi" ya mahakama ilielekeza nifike mahamani siku ya leo tarehe 12 Feb 025 nami nikafanya hivyo.
Katika kesi hii mimi kama mdaiwa na aliyekua mke wangu kama mdai.
Niseme tu kitu, katika mfumo wa serikali na personally katika suala hili, nimekuja kugundua, wanawake wame occupy sana nafasi nyingi serikalini, sasa sijui sababu ni nini?
Maana ;
- nilipoitwa dawati, incharge pale alikuwa mwanamke.
Hakika wanawake wametaradadi everywhere, tukiendelea kwa mwendo huu, wanaume twafaaa
- nilipoitwa baraza, kikao chote kilijawa na wazee wa baraza wanawake
- leo hii mahakamani, hakimu alikua mwanamke.
😁😁😁😁😁.
Anyway,.
Kama ambavyo nilikua nimeamua kuwa natamani hili suala liishe tu, na pia kwa kuzingatia ushauri wa baadhi yenu ndugu zangu wana JF, sikupemda kesi iwe na mambo mengi.
Tulipoitwa chamber na hakimu, alianza kwa kusema "hii kesi leo mmeitwa ili iweze kutajwa tu na kipangiwa siku nyingine, hivyo, mdaiwa utasomewa tu charges zako kisha kama una neno utatamka"
Akasoma,kama ilivyo ainishwa kwenye "samansi" niliopokea ,kuwa mdai anataka
1. Talaka
2. Mgawanyo wa mali
3. Kuishi na watoto
4. Matunzo ya watoto
Akauliza "unasemaje?"
Nikamjibu, "nimesikia na sina pingamizi juu ya lolote katika hayo, na kwasababu sina pingamizi naomba mahakama kama inaweza, hili suala tulimalize hapa hapa na leo leo mheshimiwa hakimu"
Akauliza "umekubaliana na haya yote?"
Nikamjibu "ndiyo, nakubaliana na dai lake la talaka, pia nakubaliana na dai la mgawanyo wa mali, japo nitaomba kujua muongozo wa mahakama unasemaje kuhusu hilo , pia muongozo wa mahakama unasema nini kuhusu matunzo ya watoto na kuishi ma watoto, maana yote niko tayari ku comply"
Akasema "kama ni hivyo, basi hii kesi ni nyepesi na itakwenda vizuri, kuhusu mgawanyo wa mali, mahakama ina suggest 50% 50%, unless kama kama mmoja wenu hajaridhika na mtahitaji tuingie katika ushahidi wa kuthibitisha mchango wa kila mmoja kwa vithibitisho.
Pia matunzo ya watoto yamejikita katika chakula, malazi, afya, na ada. Jukumu hili ni la baba kikawaida, lakini mahakama inaangalia kama mama naye anajiweza, basi jukumu hili wote mtagawana.
Na mwisho kuhusu kuishi na watoto, maadam wako chini ya miaka 18, wataishi na mama, ila baba una ruhusa ya kuwaona . Kama unahama mkoa, maana yake watoto watakuja kwako likizo ambapo, mama atagharamia nauli za kwenda likizo na baba atagharamia nauli za kurudi.
Hivyo basi , ndugu mdai nitakuuliza na utajibu hoja moja baada ya nyingine.
1. Talaka.
Hapa nikawaambia sina pingamizi, niko tayari mke wangu apewe haki yale kama anavyo hitaji. Hapo, wife nikaona kashusha pumzi ndedu nzito. Na muda mwingi alikua anajifuta jasho ingawa ndani pana feni. Katika session yote honestly, sikumtazama usoni. Na hatukusalimiana.
2. Mgawanyo wa mali.
Nikasema, kwakua kesi hii imeshanigharimu suala la muda , nakubaliana na pendekezo la mahakama la fifty fifty, kama mwenzagu, mdai anaona amebanwa naomba apewe uhuru wa kuchagua ratio itayompa comfort. Akasema mimi nataka 60%. Hakimu akauliza, mdaiwa (mimi yani) uko tayari, nikasema SINA PINGAMIZI, mahakama impe hiyo 60% anayotaka.
3. Matunzo ya watoto
Hapa nikasema, always nimekua nalipa ada miaka yote, hivyo hili nitae delea nalo, na pia nitawahudumia gharama ya chakula isiyozidi 150,000/= kwa mwezi kwa kuanzia kwasababu, suala hili limeniathiri biashara zangu pia nahitaji ku settle na kuanza upya maisha, hivyo nikitulia nita adjust.
4. Kuishi na watoto.
Nikasema, nakubaliana na pendekezo la mahakama hapo juu.
Hakimu akasema, aisee, hii kesi imeemda vizuri sana.
Wife akaomba "mheshimiwa naomba kidogo niongee na baba .... pembeni, kuhusu suala la mgawanyo wa mali"
Nikajibu "hakimu, sihitaji kuzungumza private , maana sioni kama kuna suala lolote ambalo kwasasa naweza ongea nae tukaelewana, kama ana jambo lolote aliseme hapa mbele yako"
Wife muda woote alikua anafuta jasho sijui maana yake ni nini, lakini katika vitu naamini, ni kwamba alitegemea confrontation na mimi labda nimuwekee kauzibe na vikwazo vya kukubali ombi la talaka, lakini akaona kila kitu nimekubaliana nae kama alivyotaka. Na kila alipotaka kuibua malalamiko, hakimu akawa anasema, naomba tusiguse sababu za mgogoro wenu kwakua sio sehemu ya madai yako mdai, yote uliyodai, tujikite hapo.
Hakim, akayasoma maandishi aliyoandika kisha akaita kila mtu asaini, nikasaini na yeye akasaini, lakini anaposaini akawa anajilalamisha chini chini, hata sijui anaongea nini.
Basi baada ya hapo tukaambiwa , baada ya siku 45 hati ya talaka itatoka na taratibu za utathmini zitaanza, hivyo tutakiwa kufika.
PIa nikatumia fursa hiyo kueleza kuhusu uharibu wa wa wizi uliotokea nyumbani kuonyesha RB ili ifahamike kuwa mali imeharibiwa na wezi.
Pia , ikafamika pale katika shauri kuwa mimi nilishahama nyumbani, na hii nikaona imem suprise mdai wangu, na sijui sababu ni nini!.
Baada ya yote, hakimu, akasema tumemaliza.
Nikanyanyuka na kutoka, japo niliona yf anaaga huku amekaa ana delay kutoka, like she was exhausted with the proceeding that ended.
Sijajua sasa kama walikua wanayapanga yao mengine au lah!!
Ikaisha hivyo.
Sasa baada ya siku ya 45 days ndio mengine yatafuata.
Kifupi nimefurahi hili suala halijawa extended, ngoma imeitwa leo na imetamatika leo, maana wengi walikua wanasema hii kitu inaweza ikaenda 2 months.
ADDITION:
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani
SHUKRANI WAKUU.
Usiku mwema

Ilitakiwa abishe bishe kidogo sio?Sio vizuri kusema huna pingamizi live live😅🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Kumbe wa kabila ilo,hawafai hao wanawake wa kabila ilo mkuuMnyakyusa
aDaah Leo umeonyesha uwanaume kamili nimefurahi kuona upo stable Kias hicho
Ayo yamemstaajabisha kwakuwa mategemeo yake yameenda tofauti
Hakuna mwanamke wa namna hii dunia ya leo dada angu. Hayupo. Nyie kabisaaa wakufanya haya,mmhh sidhani, ni wachave sana, unawazungumzia mama zetuHakuna mke unayeweza kumuita Golikipa. Anapobaki nyumbani anashinda amelala tu na kuangalia TV? Mwanamke anaamka asubuhi anaandaa watoto kwenda shule, anakuandalia kila kitu uende kwenye mihangaiko yako; anasafisha nyumba, anapika, anafua, anahakikisha kila kitu ndani ya nyumba kinakaa sawa. Unarudi nyumbani kutoka ulikokuwa anakupokea na kukuandalia chakula, una-relax na kuwa na akili ya kuendelea kutafuta mkate wa kesho na kwa watoto anafanya hivyo. Leo wewe ni wa kumuita Golikipa!!!! Hivyo vyote anavyofanya unaona SIYO kazi???? Wanaume mna matatizo sana ya uelewa na ni wabinafsi sana.
Sasa kama yeye ndio kafungua kesi, kadai madai yake na mimi nimempa, shifa iko wapi?Kwanza nikupe pole kwa yote. Pili kama ni mechi ndio kwanzaaaa imeanza. Sikutishi bali uhalisia utauona baada ya hizo siku 45. I wish ningejua tangu awali una moango wa talaka. Ninvekushauri vingine. Muziki upo kwenye mali na watoto.
Kiufupi mkeo wa zamani ndani ya siku hizo 45 anaenda kukusanya ushauri wa kila aina na vumbi litatimka upya. Mahakama bila kesi hakuna mishahara kwa mahakimu na watendaji wengine pamoja na mawakili, hivyo sio wa kucheka nao. Yani ni bora mngetengana na kila mmoja kuishi kivyake. Pengine ingefika siku mkapata ufunuo. Nakupa pole tena. Bado hujachomoka
Kwa maisha ya sasa fuata kile unachopenda. Usiyumbishwe na kauli za 'umri umeenda' mara sijui 'wenzio wote wapo kwenye ndoa' n.k. Mwisho wa siku unapata changamoto na hakuna wa kusaidia.Marriage is a scam Wala sitojali kwamba umri utaenda sijui utaenda wap ila swala la ndoa uwiii limenitoka
Achana nao haoAtibu akili kwa Jambo gani?
Yaani Mke mwenye watoto wa nne aharibu akili yake?
Labda hakuwa mwanaume
Kumbato na liwazo kutoka kwa pisi Kali 😛😛 unakosaje D mbili 🐒Atibu akili kwa Jambo gani?
Yaani Mke mwenye watoto wa nne aharibu akili yake?
Labda hakuwa mwanaume
Sawa msemaji wao Joan lewisKiama ya wanaume, endeleeni na ushabiki wa mipira na kunywa energy drinks mtajakuta mko mavumbini mkichapwa mijeledi na so called " sweetie, Angels, number one, laazizi. Etc.
Wapinzani wenu hawalali Wala kusinzia.
Siwezi.Hata ikitokea ivyo usithubutu kumrudia mkuu.
Hivi nikisafiri MWEZI mmoja wajanja wanamla mke wangu??? SASA HUO SIYO UMALAYA??? Umeandika UJINGA sanaHatuchangii sana kwasababu wanaume huwa ni chanzo cha wanawake kuteseka kwenye ndoa.