Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Ahahah
 
Ooh pole sana, inauma mahusiano ya muda mrefu kufa kwa namna mbaya kiasi hiki
Of course sio kitu rahisi, na wala tukisema kuwa amefanya jambo la kishujaa maana yake haumii au haiumi, Sio kweli.
Ilikuwa ni maisha uliyotamani kupata uzee nayo pamoja ila kila siku senema, Hapana!
HATA UZEE WENYEWE HUTAFIKA , aiseeh!

Mimi huwa nina falsafa ngumu sana pengine, kuliko niendelee kuwepo kwenye situation inaniumiza kwa kuwa naipenda, bora niiistop yale maumivu ninayoumia yawe yanaenda yakifade kuliko kubaki kwenye same situation na maumivu ni yale yale na hayatastop.
Ndoa za wakristu ni mpk kifo.
iwapo nitabarikiwa miaka 70 ya kwenye biblia, basi ndo kwanza kuna mingine kama 28 hivi inanisubiri.
So nikae nasubiri kuteseka next last 28 yrs , Hapana aisee!
ACHA TU IVUNJIKE NIANZE MOJA NA ARIFU!
 
Uchisema upo sahihi Kila mmoja na mda wake haitojalisha atapata mpiga debe ama muuza bar all in all mungu anatoa positive Kwa negative ili zmeki reaction
 
Amani ni bora sana
 
Hapo naomba unifafanulie kidogo mkuu, maana tumesha saini hukumu, japo baada ya 45 days itakaziwa rasmi. Je una maanisha kuna uwezekano mdai akakata rufaa kupinga matakwa yake mwenyewe? Kwamba alitaka taraka na sasa hataki??
Anaweza kuamua kuahirisha. Kwani unafikiri hizo siku zote zimewekwa kwa ajili ya nini?

Ndani ya hizo siku 45 mnaweza kufanya reconciliation na kutangua torati.

Mke wa rafiki yangu aliomba talaka. Wakiwa katika process za mwisho mke huyohuyo akaamua kuahirisha baada ya kupata ushauri toka jamaa na marafikii. ...
 
Point ya mwisho ni ya muhimu sana . Kila mwanaume anayeanzisha familia lazima kuweka akilini kuwa na mji wa kwako binafsi.

Kiuhalisia Mwanaume ukizaliwa tu ni mwendo wa madeni mpaka unakufa unaacha madeni. Jambo la muhimu tujijali na sisi wenyewe. Hakuna atakayetupigania kwenye ulimwengu huu.

Swali ni, upande wa dini unataka warekebishe sheria zipi maana vitu vingi viko wazi ni uelewa wa sheria zenyewe
 
So jiandae kupoteza. Kwa upande wa watoto pia jiandae nako jipange.
akikubaliana na hii hali atakuwa angalau safe side
 
So jiandae kupoteza. Kwa upande wa watoto pia jiandae nako jipange.

akikubaliana na hii hali atakuwa angalau safe side
Watoto hawezi kupoteza yeye ndiye baba.
ATULIE TU KWA MUDA KILA KITU KITAKAA SAWA. Unajua baada ya talaka kila mtu anataka kuwa mwamba, sasa mwenye nguvu mpishe.
Unajikalie pembeni, kimya, huna maelezo, huna beef na mtu, hudai kitu, hutaki kitu!
Weeeeee , vinageukaga vibayaaa!
 
Pole sana kaka, kila nifikili kuhusu swala la watoto huwa nakosa nguvu, sijui kwanini ila itakuwa ngumu kuishi mbali na watoto wangu. Ndoa za sasa Mungu aturehemu tu. Binafsi nitaoa tu kikombe hiki hakiwezi kuniepuka.
 
Umekuja mtetezi
 
Unaongea kwa uzoefu snowhite 😂
 
Watoto kweli hawezi kupoteza physically, ila emotionally. Ajitahidi pindi akutnapo nao awachie kitu cha kukumbukwa (sio lazima tangible things
 
Unaongea kwa uzoefu snowhite 😂
ah kabisa.
Hii thread leo nina uzoefu wa binafsi kabisa.
nimepita hapo mwaka juzi, so najua hii.
Ni kipindi kinavuruga sana, inampasa utulivu wa hali ya juu!
Talaka haina mwamba bana, unakaa chini unanyoosha miguu unakunywa maji zako lita tano tano kwa mfululizo mana kuna likitu unalisikia linaunguza hapa kwenye koo!
Alooh!
EHEHEHEHHEHEE watu waache kuchezea maisha ya wengine kwa starehe zao aiseee!
Na ukiona mtu yuko radhi apoteze kila kitu wewe upate na ilhali unajua kabisa mkosaji na anayesababisha hiyo ndoa ivunjike ni nani, hata kwa watu ukijikosha na kujisafisha Huwa vinalipwa kwa kiasi kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…