Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Wewe jamaa ni mwamba sana tena sana na kiukweli umenifundisha kitu kikubwa sana katika maisha haya. Ubarikiwe sana tena sana kwa hiki ulichokileta hapa.
 
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani😭😭😭
 
ADDITION:
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani


SHUKRANI WAKUU.
Usiku mwema
Kataa ndoa tulishaliona hili suala siku nyingi sana,

nikiona watu kwenye vikaovya harusi huwa natamani niwaambie wapitie mahakamani kwanza wafanya case studies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…