Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
th (8) (1).jpeg
 
Nje ya maada,

Walio tunga hizo sheria za ndoa walikua wanawaza nini, Yani mgawanyo wa mali ni 50 50 lkn Kulea watoto hilo ni jukumu la baba kikawaida, Kawaida gani hyo? Imetafsiriwa kisheria au ni upeo wa hakimu?
Mkuu hiz sheria kwa sisi tusiojua kucheza nazo zitakuua lakin kwa wasomi wa huo mambo wao wanaona pia loopholes kibao za kucheza nazo
 
Hakika mafunzo ya Dunia hayawezi kuisha…..! Mimi kama mwanamke nimejifunza kitu kikubwa sana…, Wanyakyusa siku zote tunaponzwa na viburi vyetu na ubinafsi.

Kiburi kwa mwanamke aliyeolewa hakijawahi kuwa na matokeo mazuri. Umimi pia pale unaposhindwa kuwapa vipaumbele watoto wako ni kuwakosea sana.

Ndoa ni Baraka lakini pia inaweza kugeuka laana wakati wowote hasa pale mwanamke mpumbavu anapoamua kuivunja kwa mikono yake mwenyewe. Faida ya yote haya ni nini?

Ewe Dada, Mama tafadhali tunza sana ndoa yako pengine kuliko vyote utunzavyo na ndivyo Baraka za Mungu zitakavyokujilia. Ndoa ni ibada, ndoa ni Sakramenti muhimu na ndoa ni agano kubwa sana.
 
Binafsi nimefurahi sana mkuu Maana point zote umetoa hapa kwenye ushauri wa wana JF . Mkuu hongera sana kwa ushindi mkuu .
. . Huyu mtalaka wako hatumuombei mabaya ila karmic debt uliyomuachia ni heavy .
Toka completely kabisa kwenye maisha yake kama umevokataa kuongea naye privately
 
Back
Top Bottom