Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Nilichogundua wewe ni mwanaume.
Mimi binafsi sipendi mambo ya kesi na kuvutana.
Ukinizingua nakuachia kila kitu napita hivi.
Amani ni bora kuliko mali na mapenzi fake
Kuna watu kimsingi kuwa hawapendi hekaheka. Wanaamua kuacha kila kitu ili jambo liishe. Nadhani hii njia nzuri kwa mtazamo wangu. Kuna wakati tusihofie kupoteza kwa maana hakuna kitu kitakachodumu daima.
 
Hongera sana mkuu umetua mzigo sana Nina Imani utakuwa huru sasa maana tulikuwa tunakaribia kukukosa.
Ahahahah..kwakweli pale mwanzon hata mimi nilikua naona kabisa, nachizika. Ila namshukuru sana Mungu amenihurumia sana akanipa utulivu, ila niwe mkweli, nimelia lia sana kwenye hili sakata
 
Hakika mafunzo ya Dunia hayawezi kuisha…..! Mimi kama mwanamke nimejifunza kitu kikubwa sana…, Wanyakyusa siku zote tunaponzwa na viburi vyetu na ubinafsi.

Kiburi kwa mwanamke aliyeolewa hakijawahi kuwa na matokeo mazuri. Umimi pia pale unaposhindwa kuwapa vipaumbele watoto wako ni kuwakosea sana.

Ndoa ni Baraka lakini pia inaweza kugeuka laana wakati wowote hasa pale mwanamke mpumbavu anapoamua kuivunja kwa mikono yake mwenyewe. Faida ya yote haya ni nini?

Ewe Dada, Mama tafadhali tunza sana ndoa yako pengine kuliko vyote utunzavyo na ndivyo Baraka za Mungu zitakavyokujilia. Ndoa ni ibada, ndoa ni Sakramenti muhimu na ndoa ni agano kubwa sana.
This is for those who cares. Mimi huwa ninawaambia ndg zangu kuwa kama huna utayari wa kuoa au kuolewa usiingie ktk ndoa. Full stop
 
😂🤣 ila wee mwanaume umeiva umekomaa, kwenye chama chetu cha KATAA NDOA tunakupa kiti cha mbele kabisa na tunafikiria kukupa uanachama wa kudumu bila masharti...
Jinsi ulivyo mpangua mkeo na vikundi vyake vilivyokuwa vinamshauri upuuzi hakika umeupiga mwingi...
Nikuambie tu umefanya mauaji makubwa sana ktk maisha yake na kwa familia yake iliyokuwa inam support upuuzi. Huyo mwanamke atakonda atafubaa atatombeka hovyo na atayakatia tamaa maisha yake yote... Kama ana roho nyepesi atakufa mapema sana ila kama ana roho ngumu ataishi kwa mateso na majuto makubwa sana...
Wanawake ni wapuuzi sana 💩💩 yaani yeye ame calculate mkiuza nyumba atapata million 50+ hajui hata angepata million 500 mwanamke mapumbavu hiyo pesa inaisha ndani miezi michache na hakuna cha maana kafanya...
All in all yote 9 ila 10 ni huo mzigo wa watoto 4 alio ng'ang'ania kuubeba, nakuambia lazima auze uchi ila ahudimie hap watoto 💩💩 alivyo mpuuzi anadhani 150k uliyosema utampa ni kubwa kwa mwezi. Halafu hajui kumpa hiyo pesa sio lazima unaweza kutoa sababu yoyote ya kipuuzi ukaacha kuitoa...
Ila amini usiamini ipo siku hivi karibuni atakurudishia watoto uishi nao wewe... Pia ipo siku hivi karibuni atakutafuta kwa njia yoyote akuombe msamaha yeye na ndug zake au wachungaji (aiseee hata aje na Yesu kamshika mkono usikubali kuwapa hata sekunde 1 kuwasikiliza)...

All in all KATAA NDOA ni mpango mzima
MUNGU tubariki Kataa Ndoa, Mungu waokoe vijana na Ndoa
 
Picha lilipoanza ulionyesha ni jamaa Lia Lia + kulalamika .

Demu utombewe, ukute na picha za utupu, alafu wee ndio ulielie.

Anyway , X Mkeo alijua utazungusha suala la Talaka, Sasa haamini ndo Ivo Kawa mtalikiwa.

Mchepuko wake hawez kumuoa sababu keshazaa watoto wengi, Engine imechoka , na sababu kubwa kabisa ya kutomuoa ni kwamba kashuhudia demu anavunja ndoa yake mwenyewe .

Mwisho, Hongera , kuanza Upya Si ujinga.

Muda mfupi ujao, jiandae Ndugu zake na viongozi wa Dini kuanza kukubembeleza.
Aisee ulijuaje mwisho wa siku watakuja ndugu kuomba radhi.
 
😂🤣 ila wee mwanaume umeiva umekomaa, kwenye chama chetu cha KATAA NDOA tunakupa kiti cha mbele kabisa na tunafikiria kukupa uanachama wa kudumu bila masharti...
Jinsi ulivyo mpangua mkeo na vikundi vyake vilivyokuwa vinamshauri upuuzi hakika umeupiga mwingi...
Nikuambie tu umefanya mauaji makubwa sana ktk maisha yake na kwa familia yake iliyokuwa inam support upuuzi. Huyo mwanamke atakonda atafubaa atatombeka hovyo na atayakatia tamaa maisha yake yote... Kama ana roho nyepesi atakufa mapema sana ila kama ana roho ngumu ataishi kwa mateso na majuto makubwa sana...
Wanawake ni wapuuzi sana 💩💩 yaani yeye ame calculate mkiuza nyumba atapata million 50+ hajui hata angepata million 500 mwanamke mapumbavu hiyo pesa inaisha ndani miezi michache na hakuna cha maana kafanya...
All in all yote 9 ila 10 ni huo mzigo wa watoto 4 alio ng'ang'ania kuubeba, nakuambia lazima auze uchi ila ahudimie hap watoto 💩💩 alivyo mpuuzi anadhani 150k uliyosema utampa ni kubwa kwa mwezi. Halafu hajui kumpa hiyo pesa sio lazima unaweza kutoa sababu yoyote ya kipuuzi ukaacha kuitoa...
Ila amini usiamini ipo siku hivi karibuni atakurudishia watoto uishi nao wewe... Pia ipo siku hivi karibuni atakutafuta kwa njia yoyote akuombe msamaha yeye na ndug zake au wachungaji (aiseee hata aje na Yesu kamshika mkono usikubali kuwapa hata sekunde 1 kuwasikiliza)...

All in all KATAA NDOA ni mpango mzima
MUNGU tubariki Kataa Ndoa, Mungu waokoe vijana na Ndoa
Maaaakeee walaahi umeuaaa mwamba
 
Nilichojifunzs hizi Mahakama Kuna upungufu sana kwenye Sheria maana Mwanaume unapewa majukumu ya kusomesha watoto na bado Mali unapata mgawo mdogo. Ndoa ni kwa ajili ya kuwatajirisha wanawake na kuwarudisha nyuma kiuchumi wanaume. Sasa umejifunza naamini hutafanya Tena mistake hizo.
 
Wakuu heshma kwenu.
Habari za jioni.

Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu 👇👇👇👇

"Samansi" ya mahakama ilielekeza nifike mahamani siku ya leo tarehe 12 Feb 025 nami nikafanya hivyo.
Katika kesi hii mimi kama mdaiwa na aliyekua mke wangu kama mdai.

Niseme tu kitu, katika mfumo wa serikali na personally katika suala hili, nimekuja kugundua, wanawake wame occupy sana nafasi nyingi serikalini, sasa sijui sababu ni nini?
Maana ;
- nilipoitwa dawati, incharge pale alikuwa mwanamke.
  • nilipoitwa baraza, kikao chote kilijawa na wazee wa baraza wanawake
  • leo hii mahakamani, hakimu alikua mwanamke.
Hakika wanawake wametaradadi everywhere, tukiendelea kwa mwendo huu, wanaume twafaaa
😁😁😁😁😁.

Anyway,.

Kama ambavyo nilikua nimeamua kuwa natamani hili suala liishe tu, na pia kwa kuzingatia ushauri wa baadhi yenu ndugu zangu wana JF, sikupemda kesi iwe na mambo mengi.

Tulipoitwa chamber na hakimu, alianza kwa kusema "hii kesi leo mmeitwa ili iweze kutajwa tu na kipangiwa siku nyingine, hivyo, mdaiwa utasomewa tu charges zako kisha kama una neno utatamka"

Akasoma,kama ilivyo ainishwa kwenye "samansi" niliopokea ,kuwa mdai anataka
1. Talaka
2. Mgawanyo wa mali
3. Kuishi na watoto
4. Matunzo ya watoto

Akauliza "unasemaje?"

Nikamjibu, "nimesikia na sina pingamizi juu ya lolote katika hayo, na kwasababu sina pingamizi naomba mahakama kama inaweza, hili suala tulimalize hapa hapa na leo leo mheshimiwa hakimu"

Akauliza "umekubaliana na haya yote?"

Nikamjibu "ndiyo, nakubaliana na dai lake la talaka, pia nakubaliana na dai la mgawanyo wa mali, japo nitaomba kujua muongozo wa mahakama unasemaje kuhusu hilo , pia muongozo wa mahakama unasema nini kuhusu matunzo ya watoto na kuishi ma watoto, maana yote niko tayari ku comply"

Akasema "kama ni hivyo, basi hii kesi ni nyepesi na itakwenda vizuri, kuhusu mgawanyo wa mali, mahakama ina suggest 50% 50%, unless kama kama mmoja wenu hajaridhika na mtahitaji tuingie katika ushahidi wa kuthibitisha mchango wa kila mmoja kwa vithibitisho.

Pia matunzo ya watoto yamejikita katika chakula, malazi, afya, na ada. Jukumu hili ni la baba kikawaida, lakini mahakama inaangalia kama mama naye anajiweza, basi jukumu hili wote mtagawana.

Na mwisho kuhusu kuishi na watoto, maadam wako chini ya miaka 18, wataishi na mama, ila baba una ruhusa ya kuwaona . Kama unahama mkoa, maana yake watoto watakuja kwako likizo ambapo, mama atagharamia nauli za kwenda likizo na baba atagharamia nauli za kurudi.

Hivyo basi , ndugu mdai nitakuuliza na utajibu hoja moja baada ya nyingine.

1. Talaka.

Hapa nikawaambia sina pingamizi, niko tayari mke wangu apewe haki yale kama anavyo hitaji. Hapo, wife nikaona kashusha pumzi ndedu nzito. Na muda mwingi alikua anajifuta jasho ingawa ndani pana feni. Katika session yote honestly, sikumtazama usoni. Na hatukusalimiana.

2. Mgawanyo wa mali.

Nikasema, kwakua kesi hii imeshanigharimu suala la muda , nakubaliana na pendekezo la mahakama la fifty fifty, kama mwenzagu, mdai anaona amebanwa naomba apewe uhuru wa kuchagua ratio itayompa comfort. Akasema mimi nataka 60%. Hakimu akauliza, mdaiwa (mimi yani) uko tayari, nikasema SINA PINGAMIZI, mahakama impe hiyo 60% anayotaka.

3. Matunzo ya watoto

Hapa nikasema, always nimekua nalipa ada miaka yote, hivyo hili nitae delea nalo, na pia nitawahudumia gharama ya chakula isiyozidi 150,000/= kwa mwezi kwa kuanzia kwasababu, suala hili limeniathiri biashara zangu pia nahitaji ku settle na kuanza upya maisha, hivyo nikitulia nita adjust.

4. Kuishi na watoto.

Nikasema, nakubaliana na pendekezo la mahakama hapo juu.

Hakimu akasema, aisee, hii kesi imeemda vizuri sana.

Wife akaomba "mheshimiwa naomba kidogo niongee na baba .... pembeni, kuhusu suala la mgawanyo wa mali"

Nikajibu "hakimu, sihitaji kuzungumza private , maana sioni kama kuna suala lolote ambalo kwasasa naweza ongea nae tukaelewana, kama ana jambo lolote aliseme hapa mbele yako"

Wife muda woote alikua anafuta jasho sijui maana yake ni nini, lakini katika vitu naamini, ni kwamba alitegemea confrontation na mimi labda nimuwekee kauzibe na vikwazo vya kukubali ombi la talaka, lakini akaona kila kitu nimekubaliana nae kama alivyotaka. Na kila alipotaka kuibua malalamiko, hakimu akawa anasema, naomba tusiguse sababu za mgogoro wenu kwakua sio sehemu ya madai yako mdai, yote uliyodai, tujikite hapo.

Hakim, akayasoma maandishi aliyoandika kisha akaita kila mtu asaini, nikasaini na yeye akasaini, lakini anaposaini akawa anajilalamisha chini chini, hata sijui anaongea nini.

Basi baada ya hapo tukaambiwa , baada ya siku 45 hati ya talaka itatoka na taratibu za utathmini zitaanza, hivyo tutakiwa kufika.

PIa nikatumia fursa hiyo kueleza kuhusu uharibu wa wa wizi uliotokea nyumbani kuonyesha RB ili ifahamike kuwa mali imeharibiwa na wezi.

Pia , ikafamika pale katika shauri kuwa mimi nilishahama nyumbani, na hii nikaona imem suprise mdai wangu, na sijui sababu ni nini!.

Baada ya yote, hakimu, akasema tumemaliza.
Nikanyanyuka na kutoka, japo niliona yf anaaga huku amekaa ana delay kutoka, like she was exhausted with the proceeding that ended.

Sijajua sasa kama walikua wanayapanga yao mengine au lah!!

Ikaisha hivyo.

Sasa baada ya siku ya 45 days ndio mengine yatafuata.
Kifupi nimefurahi hili suala halijawa extended, ngoma imeitwa leo na imetamatika leo, maana wengi walikua wanasema hii kitu inaweza ikaenda 2 months.

ADDITION:
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani

SHUKRANI WAKUU.
Usiku mwema
Extremely bad precedent
 
Nilichojifunzs hizi Mahakama Kuna upungufu sana kwenye Sheria maana Mwanaume unapewa majukumu ya kusomesha watoto na bado Mali unapata mgawo mdogo. Ndoa ni kwa ajili ya kuwatajirisha wanawake na kuwarudisha nyuma kiuchumi wanaume. Sasa umejifunza naamini hutafanya Tena mistake hizo.
Ni kwel chief. Uko sahihi
 
Hakika mafunzo ya Dunia hayawezi kuisha…..! Mimi kama mwanamke nimejifunza kitu kikubwa sana…, Wanyakyusa siku zote tunaponzwa na viburi vyetu na ubinafsi.

Kiburi kwa mwanamke aliyeolewa hakijawahi kuwa na matokeo mazuri. Umimi pia pale unaposhindwa kuwapa vipaumbele watoto wako ni kuwakosea sana.

Ndoa ni Baraka lakini pia inaweza kugeuka laana wakati wowote hasa pale mwanamke mpumbavu anapoamua kuivunja kwa mikono yake mwenyewe. Faida ya yote haya ni nini?

Ewe Dada, Mama tafadhali tunza sana ndoa yako pengine kuliko vyote utunzavyo na ndivyo Baraka za Mungu zitakavyokujilia. Ndoa ni ibada, ndoa ni Sakramenti muhimu na ndoa ni agano kubwa sana.
U have said it all.
 
😂🤣 ila wee mwanaume umeiva umekomaa, kwenye chama chetu cha KATAA NDOA tunakupa kiti cha mbele kabisa na tunafikiria kukupa uanachama wa kudumu bila masharti...
Jinsi ulivyo mpangua mkeo na vikundi vyake vilivyokuwa vinamshauri upuuzi hakika umeupiga mwingi...
Nikuambie tu umefanya mauaji makubwa sana ktk maisha yake na kwa familia yake iliyokuwa inam support upuuzi. Huyo mwanamke atakonda atafubaa atatombeka hovyo na atayakatia tamaa maisha yake yote... Kama ana roho nyepesi atakufa mapema sana ila kama ana roho ngumu ataishi kwa mateso na majuto makubwa sana...
Wanawake ni wapuuzi sana 💩💩 yaani yeye ame calculate mkiuza nyumba atapata million 50+ hajui hata angepata million 500 mwanamke mapumbavu hiyo pesa inaisha ndani miezi michache na hakuna cha maana kafanya...
All in all yote 9 ila 10 ni huo mzigo wa watoto 4 alio ng'ang'ania kuubeba, nakuambia lazima auze uchi ila ahudimie hap watoto 💩💩 alivyo mpuuzi anadhani 150k uliyosema utampa ni kubwa kwa mwezi. Halafu hajui kumpa hiyo pesa sio lazima unaweza kutoa sababu yoyote ya kipuuzi ukaacha kuitoa...
Ila amini usiamini ipo siku hivi karibuni atakurudishia watoto uishi nao wewe... Pia ipo siku hivi karibuni atakutafuta kwa njia yoyote akuombe msamaha yeye na ndug zake au wachungaji (aiseee hata aje na Yesu kamshika mkono usikubali kuwapa hata sekunde 1 kuwasikiliza)...

All in all KATAA NDOA ni mpango mzima
MUNGU tubariki Kataa Ndoa, Mungu waokoe vijana na Ndoa
Ahsante chief..let's see. Ila kwa upande wangu nimemaliza. Kama wao bado wana jambo basi tutasikia tu, watalisema
 
Back
Top Bottom