Safi sana. Pia ungechukua ushauri wa jamaa yako yule ingependeza.
Mimi pia yalikuta halafu ndugu wa mke wanamsapoti kishenzi.
Mara ya kwanza akaenda nikarudisha. Mara ya pili ameenda nimepiga kimya.
Mjinga amebeba na watoto wote 4. Sema sababu watoto ni wakubwa najikuna ada TU mengine atajua mwenyewe.
Nilikunywa pombe nusu nife alivyoondoka mara ya pili, nikaanguka nikapasua uchogo halafu Niko mwenyewe. Uzuri niliangukia kibarazani ila sababu ya mtungi sikujua niliangukaje. Ile siku ya sensa ile 2022.
Ninaishi na wapangaji pia so mdada mmoja akanispoti ndio kupiga kelele maana nilizima zaidi ya lisaa na madamu yamejaa kama ng'ombe amechinjwa.
Nimepelekwa KCMC bado nimezima, majirani ndugu wote walijua ndio natangulia hivyo. Kuingizwa kwnye MRI scanner pale fuvu halijapasuka.
Vipimo vingine, spine na kila kitu fresh.
Pigwa nyuzi nne pale sijui 5 sikumbuki.
Sasa hivi toka 2022 am free as a
Wandering Jew .
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Halafu wakizeeka Sasa from 60 kuendelea wengi sana wanajutia maamuzi waliyoyafanya from 28 hapo kundelea. Unavunjaje ndoa kwa maneno ya majirani😂🤣🤣😂🤣🤣🙌🙌
View attachment 3234799