Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Brother pole sana, wanaume wanapitia mengi ni vile hawaongei, pole and nikupongeze hatua uliyofikia. From this point your inner peace ndio iwe priority yako sasa.

But also jiandae na ujio wa mama watoto, because yes she will come back na majeshi (wazee wa kanisa,wazee wa ukoo, wamama, and n.k) , ataleta pressure kubwa sana ya kutaka kuwa na wewe, ya kutaka kurudi. Simama imara
 
Hasa wanawake ,Mungu Huwa anawapa mpambanaji mmoja hivi aliejitoa mhanga kuwasaidia !huyu mpambanaji anaweza saliti hata baba na mama na ndugu zake ili kuhakikisha Dem anapata kwake yaani mnajenga kabisaa !Sasa akianza kuzingua Mungu mwenyewe anakusemesha pole pole "Mwanangu nilikupa huyu MTU coz alikua na mashaka na maisha ,amejipata ameanza dharau,ishia hapo hapo,Anza upya"

Ukishamuacha Hata mwaka hua haukatiki anakurudishia watoto yeye mwenyewe na majuto yanaanza rasmi!
 
Heri yako umejitoa kwenye hiki kifungo.

Humu ni kwa motoooooo...😭😭😭😭
 
Kwann mgawane mali 60% - 40% halafu tena utoe pesa kwa ajili ya watoto?
Mbaya zaidi n kama mwanamke hana mchango wowote kwenye hizo mali, serikali inawapendelea sana wanawake utadhani ni walemavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…