Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #601
Pande zote life lazima lisongeMaisha mengine lazima yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pande zote life lazima lisongeMaisha mengine lazima yaendelee
KWA KIFUPI TU VIJANA MNAJIONEA WENYEWE AKINA MY WENU WANAVYOTAKA KUWAUWAWakuu heshma kwenu.
Habari za jioni.
Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu
Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...www.jamiiforums.com
"Samansi" ya mahakama ilielekeza nifike mahamani siku ya leo tarehe 12 Feb 025 nami nikafanya hivyo.
Katika kesi hii mimi kama mdaiwa na aliyekua mke wangu kama mdai.
Niseme tu kitu, katika mfumo wa serikali na personally katika suala hili, nimekuja kugundua, wanawake wame occupy sana nafasi nyingi serikalini, sasa sijui sababu ni nini?
Maana ;
- nilipoitwa dawati, incharge pale alikuwa mwanamke.
Hakika wanawake wametaradadi everywhere, tukiendelea kwa mwendo huu, wanaume twafaaa
- nilipoitwa baraza, kikao chote kilijawa na wazee wa baraza wanawake
- leo hii mahakamani, hakimu alikua mwanamke.
😁😁😁😁😁.
Anyway,.
Kama ambavyo nilikua nimeamua kuwa natamani hili suala liishe tu, na pia kwa kuzingatia ushauri wa baadhi yenu ndugu zangu wana JF, sikupemda kesi iwe na mambo mengi.
Tulipoitwa chamber na hakimu, alianza kwa kusema "hii kesi leo mmeitwa ili iweze kutajwa tu na kipangiwa siku nyingine, hivyo, mdaiwa utasomewa tu charges zako kisha kama una neno utatamka"
Akasoma,kama ilivyo ainishwa kwenye "samansi" niliopokea ,kuwa mdai anataka
1. Talaka
2. Mgawanyo wa mali
3. Kuishi na watoto
4. Matunzo ya watoto
Akauliza "unasemaje?"
Nikamjibu, "nimesikia na sina pingamizi juu ya lolote katika hayo, na kwasababu sina pingamizi naomba mahakama kama inaweza, hili suala tulimalize hapa hapa na leo leo mheshimiwa hakimu"
Akauliza "umekubaliana na haya yote?"
Nikamjibu "ndiyo, nakubaliana na dai lake la talaka, pia nakubaliana na dai la mgawanyo wa mali, japo nitaomba kujua muongozo wa mahakama unasemaje kuhusu hilo , pia muongozo wa mahakama unasema nini kuhusu matunzo ya watoto na kuishi ma watoto, maana yote niko tayari ku comply"
Akasema "kama ni hivyo, basi hii kesi ni nyepesi na itakwenda vizuri, kuhusu mgawanyo wa mali, mahakama ina suggest 50% 50%, unless kama kama mmoja wenu hajaridhika na mtahitaji tuingie katika ushahidi wa kuthibitisha mchango wa kila mmoja kwa vithibitisho.
Pia matunzo ya watoto yamejikita katika chakula, malazi, afya, na ada. Jukumu hili ni la baba kikawaida, lakini mahakama inaangalia kama mama naye anajiweza, basi jukumu hili wote mtagawana.
Na mwisho kuhusu kuishi na watoto, maadam wako chini ya miaka 18, wataishi na mama, ila baba una ruhusa ya kuwaona . Kama unahama mkoa, maana yake watoto watakuja kwako likizo ambapo, mama atagharamia nauli za kwenda likizo na baba atagharamia nauli za kurudi.
Hivyo basi , ndugu mdai nitakuuliza na utajibu hoja moja baada ya nyingine.
1. Talaka.
Hapa nikawaambia sina pingamizi, niko tayari mke wangu apewe haki yale kama anavyo hitaji. Hapo, wife nikaona kashusha pumzi ndedu nzito. Na muda mwingi alikua anajifuta jasho ingawa ndani pana feni. Katika session yote honestly, sikumtazama usoni. Na hatukusalimiana.
2. Mgawanyo wa mali.
Nikasema, kwakua kesi hii imeshanigharimu suala la muda , nakubaliana na pendekezo la mahakama la fifty fifty, kama mwenzagu, mdai anaona amebanwa naomba apewe uhuru wa kuchagua ratio itayompa comfort. Akasema mimi nataka 60%. Hakimu akauliza, mdaiwa (mimi yani) uko tayari, nikasema SINA PINGAMIZI, mahakama impe hiyo 60% anayotaka.
3. Matunzo ya watoto
Hapa nikasema, always nimekua nalipa ada miaka yote, hivyo hili nitae delea nalo, na pia nitawahudumia gharama ya chakula isiyozidi 150,000/= kwa mwezi kwa kuanzia kwasababu, suala hili limeniathiri biashara zangu pia nahitaji ku settle na kuanza upya maisha, hivyo nikitulia nita adjust.
4. Kuishi na watoto.
Nikasema, nakubaliana na pendekezo la mahakama hapo juu.
Hakimu akasema, aisee, hii kesi imeemda vizuri sana.
Wife akaomba "mheshimiwa naomba kidogo niongee na baba .... pembeni, kuhusu suala la mgawanyo wa mali"
Nikajibu "hakimu, sihitaji kuzungumza private , maana sioni kama kuna suala lolote ambalo kwasasa naweza ongea nae tukaelewana, kama ana jambo lolote aliseme hapa mbele yako"
Wife muda woote alikua anafuta jasho sijui maana yake ni nini, lakini katika vitu naamini, ni kwamba alitegemea confrontation na mimi labda nimuwekee kauzibe na vikwazo vya kukubali ombi la talaka, lakini akaona kila kitu nimekubaliana nae kama alivyotaka. Na kila alipotaka kuibua malalamiko, hakimu akawa anasema, naomba tusiguse sababu za mgogoro wenu kwakua sio sehemu ya madai yako mdai, yote uliyodai, tujikite hapo.
Hakim, akayasoma maandishi aliyoandika kisha akaita kila mtu asaini, nikasaini na yeye akasaini, lakini anaposaini akawa anajilalamisha chini chini, hata sijui anaongea nini.
Basi baada ya hapo tukaambiwa , baada ya siku 45 hati ya talaka itatoka na taratibu za utathmini zitaanza, hivyo tutakiwa kufika.
PIa nikatumia fursa hiyo kueleza kuhusu uharibu wa wa wizi uliotokea nyumbani kuonyesha RB ili ifahamike kuwa mali imeharibiwa na wezi.
Pia , ikafamika pale katika shauri kuwa mimi nilishahama nyumbani, na hii nikaona imem suprise mdai wangu, na sijui sababu ni nini!.
Baada ya yote, hakimu, akasema tumemaliza.
Nikanyanyuka na kutoka, japo niliona yf anaaga huku amekaa ana delay kutoka, like she was exhausted with the proceeding that ended.
Sijajua sasa kama walikua wanayapanga yao mengine au lah!!
Ikaisha hivyo.
Sasa baada ya siku ya 45 days ndio mengine yatafuata.
Kifupi nimefurahi hili suala halijawa extended, ngoma imeitwa leo na imetamatika leo, maana wengi walikua wanasema hii kitu inaweza ikaenda 2 months.
ADDITION:
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani
SHUKRANI WAKUU.
Usiku mwema
kuna huyu dogo anajiita mchezaji kutoka Afrika magharibi that poor boy kwa muonekano wake huyo mwanamke kafata pesa. Dogo hana aura wala swaga za kumiliki huyo changu wa mujini.Kataa ndoa tulishaliona hili suala siku nyingi sana,
nikiona watu kwenye vikaovya harusi huwa natamani niwaambie wapitie mahakamani kwanza wafanya case studies
Kuna kenge hazisikii mpaka damu zitoke kwenye masikio.Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani😭😭😭
Mke wa waume wengi huyo.kuna huyu dogo anajiita mchezaji kutoka Afrika magharibi that poor boy kwa muonekano wake huyo mwanamke kafata pesa. Dogo hana aura wala swaga za kumiliki huyo changu wa mujini.
Any way naona kuna watu wazima wameamua kukaa kimya na kumuacha dogo aoe retired midfilder😄
📌📌📌Kama mwanachama wa kataa ndoa,napinga hiyo ndoa ya kitapeli.Msimamo wa kataa ndoa ni kuwa dogo kapotoka na huo msimbe.
Ndo hao hawataki shule wanakimbilia kufanya kazi za bodaboda.Something must really be done. Ouer young men must really take this a serious note
Dogo amepotea na atazidi kupotea .Hivi huko kwao hana wazazi???Mke wa waume wengi huyo.
Acheni kunormalize hii situation.Hakuna kitu kwa mwanaume kinauma kama kugongewa na kudhulumiwa mali.Ningeshangaa sana kama kina livapool VPN na wenzake wazee wa kataa ndoa msingekuja ku co sign hii ishue. All in all jamaa kaimaliza kikamanda
The guy is in a confusion state,atakuja kuelewa blander aliyofanya baadae akili ikipoa.Kwann mgawane mali 60% - 40% halafu tena utoe pesa kwa ajili ya watoto?
Mbaya zaidi n kama mwanamke hana mchango wowote kwenye hizo mali, serikali inawapendelea sana wanawake utadhani ni walemavu.
Vipi ulishafikiria kuwapima watoto DNA? Maana mkeo alikuwa bandidu kwelikweli.Moja ya kitu kinanitoa machozi mpaka sasa ni watoto wangu. Ila nimeamua acha nikubali lolote litakalojili juu yao angalau kwa hii miezi 6 ya mwanza mpaka mwaka. Kila jambo linahitaji muda, hayawez yote kuwa resolved kwa wakat mmoja.
Nitapata ufumbuzi tu bila shaka. Acha akae nao kwanza maana si ndio anachotaka, wala sitashindania watoto.
But after sometime najua nitakapowataka ,atakua ame learn a lesson na nitawapata kirahis bila nguvu wala shuruba.
Ujue wawili ni wawili tu, hata asiposema akaendelea kukomaa like she handles everything bila tabu, ila najua kuna somo atajifunza tu
Sisi wa do or die hatuwezagi kusamehe.Nitabaki kataa ndoa niendelee kuwala kimasihara ila kujimilikisha na kufuga kunguru mwiko.Mkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.😅.
Ujue ndio maana nikaja gundua watu wanafanyaga maamuzi magumu sana juu ya watesi wao, pale mahakamani wakati nasubiri kesi yangu kuitwa ,nikakutana na jamaa watatu, nao wana kesi za ndoa, sasa katika story za hapa na pale, mshkaji mmoja aliposikia suala langu alipaniki akanambia "bro, kuna watu ukiwala 2million tu, huyo mtu wako wanamfyekelea mbali hutakaa umuone tena"
Dahh nikashtuka sana. Wakuu,nikagundua kuwa kuna watu hawawez kukuruhusu uwachezee kupita kiwango.
Jamaa keshapigwa na kitu kizito na hilo single maza bobezi. Sijui kwanini haya makwasukwasu yanatuotea wanaume kwa kweli.kuna huyu dogo anajiita mchezaji kutoka Afrika magharibi that poor boy kwa muonekano wake huyo mwanamke kafata pesa. Dogo hana aura wala swaga za kumiliki huyo changu wa mujini.
Any way naona kuna watu wazima wameamua kukaa kimya na kumuacha dogo aoe retired midfilder😄
📌📌📌Kama mwanachama wa kataa ndoa,napinga hiyo ndoa ya kitapeli.Msimamo wa kataa ndoa ni kuwa dogo kapotoka na huo msimbe.
Mwanaume unampendaje mwanamke???Yah, Karma is real. Lakini pia wanaume wenye upendo wa dhati tuna tabia ya kumuamini sana mwanamke.
Mwanaume anaingia ktk ndoa kwa kupenda. Yaani kumpenda mwanamke, mwanamke anaingia ktk ndoa baada ya kuona status ya sasa ya maisha ya mwanaume na ijayo pia. Kwahiyo akishazoea yale maisha, kukukana wewe mwanaume mbeleni ni rahisi tu.
Anguko la mwanaume aliyesimama kwa zaidi ya 90% hutokana na mwanamke wake anayempenda.
Ulimbukeni na kutokea familia maskini.Wanashindwa kumchana live kwakuwa yeye ndo anahela katika uko wake.Jamaa keshapigwa na kitu kizito na hilo single maza bobezi. Sijui kwanini haya makwasukwasu yanatuotea wanaume kwa kweli.
Shukrani mkuuHongeraaaa aaaaaah Sana mwambaaaaaaaa! Hapo Tulia Sas harafu set maisha kubali kuanza upya siku Zote mwanaume ni mwanajeshi aliyetelekezwa vitani, kwahiyo jukumu lipo mikono mwako kuhakikisha unakamilisha mipango yako Bila kuangalia magumu uliyopitia,, andaa ratiba rafiki na maalum kwaajir ya watoto wako na uhakikishe kila ukipata fursa yakuongea nao iwe physical au networking hakikisha unaongeanao kuhusu changamoto za maisha yaan uwe baba wa kwanza kuhakikisha unatetea Amani ya watoto.
Huyo x mkeo usithubutu kuongea nae lolote linalohusu mahusiano au changamoto zake binafsi, once kuitoa chance yakujipendekeza kwake atajipanga kwa mission nyingine ili akukomoe mazima. Na inapobid nunua simu maalum kwaajili ya watoto nyumbani ili kila ukihitaji kuongeanao usipate vikwazo! Karibu Sana mzee wangu
I have a plan ila not for now. Na nitaifanya hii secretellyVipi ulishafikiria kuwapima watoto DNA? Maana mkeo alikuwa bandidu kwelikweli.
Ahahah...mimi nilienda mahakaman kwa lengo la kumuachia 100%The guy is in a confusion state,atakuja kuelewa blander aliyofanya baadae akili ikipoa.
Sasa demu kashatombwa, kapigwa picha za uchi jamaa kutaka kufuatilia kapigwa lockup, jamaa kakubali yaisje anataka waachane kwa usalama wa mali zake zingine...badala ya kuangalia jambo kwa namna unayoangalia mpongezw jamaa kwamba ni mwanaume na analimaliza jambo kikamanda na sio mwoga wa maisha...Kataa ndoa wengi, wengi wao, ni Waoga wa maisha na hawana composure kwahiyo ku sustain mikiki mikiki ya wanawake hawawez inabidi wakaushe tu na kuipraise hiyo movement yao...ALL IN ALL JAMAA KAPAMBANA KIUME,Acheni kunormalize hii situation.Hakuna kitu kwa mwanaume kinauma kama kugongewa na kudhulumiwa mali.
Huyu jamaa kaumizwa mbaya mbovu kapigwa two in one.Maumivu yake hayaelezeki ila ndo hivyo ni UKUMBUSHO KWA TEAM "I LUV MY WIFE" waanze kukaa mkao wa kula.