Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Fanton Mahal sikiliza kisa changu kidogo sana kisha uelewe kitu..
Hapa nipo mimi mama na mke wangu na baba utamuona pia kwenye maongezi ya mama.. Sitaweka maneno ya baba maana yule ni mwanaume kuniliko why? He went through a lot before I was born.. so with a cape on my hand ( Only fir soldiers) salute to him.
The story..
Mom: Mkeo kaondoka kwako?
Mimi: Ndio ila bado namuhitaji.
Mom: Mkeo ni mzuri sana hata mimi najiona ndani yake vile nilikuwa bado binti wa umri wake..
Ila amini kuwa huyo ni mzee kwako hutakiwi kumlilia yeye ndie anatakiwa akulilie maana nakujua wewe ni mtafutaji na sio mpambanaji..
Wewe ni mtafutaji kama baba yako maana yake una mkono wa mali.
Mwachie watoto na ukate mawasiliano nae kwa muda mrefu hata ikiwezekana miaka mitano..awalee na yeye..
Anatakiwa ajue kuwa mimi pia nilileta ujuaji na kusema kuwa naweza, Baba yenu akaniachia watoto. Nilijuta na kutaabika mpaka leo najuta..
Mama alipofika hapo niliuhisi ule uchungu mwingi wa majuto ndani yake maana sauti ilibadilika ikakwaruza kisha alivuta pumzi iliyochanganyika na tumaji maji ni wazi zilikuwa ni kamasi nyepesi japo sikumuona lakini sauti ya kuivuta ile pumzi kwa nguvu niliisikia kisha alitulia kama sekunde kumi off the phone
Probably alikuwa anapangusa macho na pua ajili ya kilio cha kimya kimya..
Aliposikika tena sasa ilikuwa ni kilio waziwazi huku akisema..
Mwanangu kama nikakuzaa kwa uchungu na leo mwanamke anakuja kukufanya kama msukule eti ni wewe atakuwa anayumbisha kila uonekanapo kusimama kiuchumi basi amani isikae upande wake..
Alikuwekea dawa gani huyo malaya?
Hao malaya wa Singida wanakuwaga na dawa kali sana mwanangu nakushauri tafuta njia ujinasue utoke humo vinginevyo hutamuacha. Na kama hutomuacha basi amini hutazeeka na chochote hata kijiko mwanangu..
Na huyo mwanamke asijerudi kwako daima. Na siku akija kwangu kuniomba nimuombee msamaha ndio siku nitafungwa kwa mauaji..
Nilimsikiliza mama na Mshua wangu aliongea maneno machache sana lakini yalitosha kunionyesha mimi ni nani hapa duniani nikachukua uamuzi mpaka leo nadunda kiroho safi tu..
Na kuhusu kujinasua hakika nilipambana na Ulimwengu mwingine kabisa tena wa nguvu za ajabu..
Hivyo mimi pia ilibidi niwekeze muda wa kutosha na pesa nyingi kuufufua ushetani wangu ambao nilikuwa nimeamua kuuacha miaka mingi..
Sijaachia kombola lolote kwenda upande wa pili maana naweza kuidhuru mpaka damu yangu but kwa jinsi nilivyozifunga njia huwa naiona nafsi yake ikinifuata hata usiku huku inatia huruma katika mazingira tofauti..
Hata nafsi ya mama huwa inanifuata usiku kuomba niilegezee ile nafsi ya EX wangu lakini huwa naiambia..
Nimerudi kuwa yule shetani mwenyewe sina huruma maana hawa binadamu ukicheka nao utapoteza uhai..