Acheni kunormalize hii situation.Hakuna kitu kwa mwanaume kinauma kama kugongewa na kudhulumiwa mali.
Huyu jamaa kaumizwa mbaya mbovu kapigwa two in one.Maumivu yake hayaelezeki ila ndo hivyo ni UKUMBUSHO KWA TEAM "I LUV MY WIFE" waanze kukaa mkao wa kula.
Na kuna mazingira huwa inakua mpaka 70% 30% mkuu..inategemeana na mazingira vinginevyo mnatakiwa muanze ku establisha proof kwann upewe au usipewe % unayotaka endapo hujaridhika
Uncle wangu aligawana mali na wife wake baada ya takaka, Wife akachukua nyumba na gari Escudo.
Kwa kuwa hiyo nyumba wife aliyopewa ilikuwa kwenye fence moja na nyumba nyingine aliyobaki nayo mume, wife akamuuzia mume ile nyumba ya mgao wake.
Wife akaenda kuishi na hawara wake ambaye mume aliwafumania kwenye banda la kuku.
Baada ya mwaka tuu wife kamaliza ile pesa ya kuuza nyumba, akauza ile gari, baada ya pesa kuisha hawara akamfukuza, sasa hivi wife anauza mitumba mnadani kachoka hatare. Mume yeye alioa mke mwingine na wamezaa watoto 2.
Unaona sasa! Unataka kusema mume wa mtu akiwa guest sio malaya ila mke wa mtu akiwa guest ndiye malaya.
Nyie endekezeni tabia zenu hizo ila msisahau wanawake wengi wa siku hizi ndoa haziwababaishi tena waliopo kwenye ndoa.
Labda wale ambao hawajawahi kuolewa ndio wanazitamani na wao wakiingia wanatafuta njia ya kusepa.
Haya mambo tumeandika sana humu, ndoa ni jambo la ovyo kwa mwanaume. Kama unaweza kuishi bila ndoa ni kheri iwe hivyo kwa amani ya moyo wako.
Ndoa ni kwaajili ya wanawake tu labda na wanaume wasio na akili.
Sasa demu kashatombwa, kapigwa picha za uchi jamaa kutaka kufuatilia kapigwa lockup, jamaa kakubali yaisje anataka waachane kwa usalama wa mali zake zingine...badala ya kuangalia jambo kwa namna unayoangalia mpongezw jamaa kwamba ni mwanaume na analimaliza jambo kikamanda na sio mwoga wa maisha...Kataa ndoa wengi, wengi wao, ni Waoga wa maisha na hawana composure kwahiyo ku sustain mikiki mikiki ya wanawake hawawez inabidi wakaushe tu na kuipraise hiyo movement yao...ALL IN ALL JAMAA KAPAMBANA KIUME,
Kumbe kuoa ni kukubali kuvumilia mikiki mikiki ya mwanamke!? Kama ndo hivyo basi KATAA NDOA wana hoja.
Yaani nimlipie mahali, nimtunze na kufanya kilakitu then niwe tayari kuvumilia mikiki mikiki yake!!!!??? Nitakuwa mwehu!
Mwenye akili ni yule anayeona hili jambo halifai na kulikwepa.
NDOA NI JAMBO LA OVYO MNO KWA MWANAUME.
KATAA HUO UTAPELI, KATAA NDOA.
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
www.jamiiforums.com
"Samansi" ya mahakama ilielekeza nifike mahamani siku ya leo tarehe 12 Feb 025 nami nikafanya hivyo.
Katika kesi hii mimi kama mdaiwa na aliyekua mke wangu kama mdai.
Niseme tu kitu, katika mfumo wa serikali na personally katika suala hili, nimekuja kugundua, wanawake wame occupy sana nafasi nyingi serikalini, sasa sijui sababu ni nini?
Maana ;
- nilipoitwa dawati, incharge pale alikuwa mwanamke.
nilipoitwa baraza, kikao chote kilijawa na wazee wa baraza wanawake
Kama ambavyo nilikua nimeamua kuwa natamani hili suala liishe tu, na pia kwa kuzingatia ushauri wa baadhi yenu ndugu zangu wana JF, sikupemda kesi iwe na mambo mengi.
Tulipoitwa chamber na hakimu, alianza kwa kusema "hii kesi leo mmeitwa ili iweze kutajwa tu na kipangiwa siku nyingine, hivyo, mdaiwa utasomewa tu charges zako kisha kama una neno utatamka"
Akasoma,kama ilivyo ainishwa kwenye "samansi" niliopokea ,kuwa mdai anataka
1. Talaka
2. Mgawanyo wa mali
3. Kuishi na watoto
4. Matunzo ya watoto
Akauliza "unasemaje?"
Nikamjibu, "nimesikia na sina pingamizi juu ya lolote katika hayo, na kwasababu sina pingamizi naomba mahakama kama inaweza, hili suala tulimalize hapa hapa na leo leo mheshimiwa hakimu"
Akauliza "umekubaliana na haya yote?"
Nikamjibu "ndiyo, nakubaliana na dai lake la talaka, pia nakubaliana na dai la mgawanyo wa mali, japo nitaomba kujua muongozo wa mahakama unasemaje kuhusu hilo , pia muongozo wa mahakama unasema nini kuhusu matunzo ya watoto na kuishi ma watoto, maana yote niko tayari ku comply"
Akasema "kama ni hivyo, basi hii kesi ni nyepesi na itakwenda vizuri, kuhusu mgawanyo wa mali, mahakama ina suggest 50% 50%, unless kama kama mmoja wenu hajaridhika na mtahitaji tuingie katika ushahidi wa kuthibitisha mchango wa kila mmoja kwa vithibitisho.
Pia matunzo ya watoto yamejikita katika chakula, malazi, afya, na ada. Jukumu hili ni la baba kikawaida, lakini mahakama inaangalia kama mama naye anajiweza, basi jukumu hili wote mtagawana.
Na mwisho kuhusu kuishi na watoto, maadam wako chini ya miaka 18, wataishi na mama, ila baba una ruhusa ya kuwaona . Kama unahama mkoa, maana yake watoto watakuja kwako likizo ambapo, mama atagharamia nauli za kwenda likizo na baba atagharamia nauli za kurudi.
Hivyo basi , ndugu mdai nitakuuliza na utajibu hoja moja baada ya nyingine.
1. Talaka.
Hapa nikawaambia sina pingamizi, niko tayari mke wangu apewe haki yale kama anavyo hitaji. Hapo, wife nikaona kashusha pumzi ndedu nzito. Na muda mwingi alikua anajifuta jasho ingawa ndani pana feni. Katika session yote honestly, sikumtazama usoni. Na hatukusalimiana.
2. Mgawanyo wa mali.
Nikasema, kwakua kesi hii imeshanigharimu suala la muda , nakubaliana na pendekezo la mahakama la fifty fifty, kama mwenzagu, mdai anaona amebanwa naomba apewe uhuru wa kuchagua ratio itayompa comfort. Akasema mimi nataka 60%. Hakimu akauliza, mdaiwa (mimi yani) uko tayari, nikasema SINA PINGAMIZI, mahakama impe hiyo 60% anayotaka.
3. Matunzo ya watoto
Hapa nikasema, always nimekua nalipa ada miaka yote, hivyo hili nitae delea nalo, na pia nitawahudumia gharama ya chakula isiyozidi 150,000/= kwa mwezi kwa kuanzia kwasababu, suala hili limeniathiri biashara zangu pia nahitaji ku settle na kuanza upya maisha, hivyo nikitulia nita adjust.
4. Kuishi na watoto.
Nikasema, nakubaliana na pendekezo la mahakama hapo juu.
Hakimu akasema, aisee, hii kesi imeemda vizuri sana.
Wife akaomba "mheshimiwa naomba kidogo niongee na baba .... pembeni, kuhusu suala la mgawanyo wa mali"
Nikajibu "hakimu, sihitaji kuzungumza private , maana sioni kama kuna suala lolote ambalo kwasasa naweza ongea nae tukaelewana, kama ana jambo lolote aliseme hapa mbele yako"
Wife muda woote alikua anafuta jasho sijui maana yake ni nini, lakini katika vitu naamini, ni kwamba alitegemea confrontation na mimi labda nimuwekee kauzibe na vikwazo vya kukubali ombi la talaka, lakini akaona kila kitu nimekubaliana nae kama alivyotaka. Na kila alipotaka kuibua malalamiko, hakimu akawa anasema, naomba tusiguse sababu za mgogoro wenu kwakua sio sehemu ya madai yako mdai, yote uliyodai, tujikite hapo.
Hakim, akayasoma maandishi aliyoandika kisha akaita kila mtu asaini, nikasaini na yeye akasaini, lakini anaposaini akawa anajilalamisha chini chini, hata sijui anaongea nini.
Basi baada ya hapo tukaambiwa , baada ya siku 45 hati ya talaka itatoka na taratibu za utathmini zitaanza, hivyo tutakiwa kufika.
PIa nikatumia fursa hiyo kueleza kuhusu uharibu wa wa wizi uliotokea nyumbani kuonyesha RB ili ifahamike kuwa mali imeharibiwa na wezi.
Pia , ikafamika pale katika shauri kuwa mimi nilishahama nyumbani, na hii nikaona imem suprise mdai wangu, na sijui sababu ni nini!.
Baada ya yote, hakimu, akasema tumemaliza.
Nikanyanyuka na kutoka, japo niliona yf anaaga huku amekaa ana delay kutoka, like she was exhausted with the proceeding that ended.
Sijajua sasa kama walikua wanayapanga yao mengine au lah!!
Ikaisha hivyo.
Sasa baada ya siku ya 45 days ndio mengine yatafuata.
Kifupi nimefurahi hili suala halijawa extended, ngoma imeitwa leo na imetamatika leo, maana wengi walikua wanasema hii kitu inaweza ikaenda 2 months.
ADDITION:
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani
Nakoment ili kujua mwisho wa hili suala. Vipi wife akikutafuta ndani ya hizi siku arobaini akakupa K halafu akawa anakubembeleza mfute kesi, vipi utamkubalia?

K sio kitu cha maana sana mkuu, nina uwezo wa kula K safi za watoto wa 20's maana hayupo nyumban zaidi ya miezi mi 3.
Suala la kufuta kesi liko ndani ya uwezo wake hata bila kunibembeleza maana ni yeye ndio incharge wa kesi. Hata asiponibembeleza ana uamuzi wa kufanya hivyo ila kwasasa haitaweza badili chochote kaka.
Utawezaje tena kukaa karibu na mtu aliyekutia ndani lockup?
Mtu ambaye bila aibu akabambikiza tuhuma nzito za ulawiti mbele ya baraza la kata
Mtu anayesema haijui shilling 10 yako toka muoane kwa 15 years?
Unapataje ujasiri hata wa kula chakula na mtu wa namna hiyo?
Hiyo itakua death sentence ambayo nitakua nimejihukumu mwenyewe.
Unajua hata kwann sikutaka kugombea watoto kwasasa??
SAbabu moja wapo ni kwamba huyu mwanamke haweza shindwa hata kunitengenezea kesi ya mimi kuwabaka watoto wake mwenyewe ili nikatiwe ndani maisha!!.
Siwezi asilani kufanya kosa kubwa namna hiyo mzee baba
Soon baada ya kesi, namba nimebadili zootee na mkoa nilisha hama.

Ahah..mkuu hii habar sikutaka kuiandika kwa kinaa sana. Maaa wakat nauandika uzi wa kwanza nilikua siko katika utulivu mkubwa.
Huyu mama, kafanya vingi mnoo
Introduction:- Hoya niaje wanaume wenzangu.. Kama nilivyoandika kwenye heading ""Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?"" Scenario. Nazungumza na wewe baharia mwenzangu 1. Upo Halmashauri unakomaa na mishale ya DED/TED/MED wako bila kusahau mijeledi ya madiwani wako, yaani unajichanga...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.