Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Inauma sana, unapimaaaaaa unaona maumivu ya kushikilia ni makubwa kuliko ya kuachilia vipoteee. Japo ukiwaza nguvu yote ya ujana unaiona ileee inakwemda na maji uanze upya, aisee maumivu yake sio madogo ila unaona sawa tu
Yani mimi nimekuelewa mnoo!
Kuliko kawaida!
Nijiuliza kuhusu umri, na wala si uongo uwezo wa kufanya kazi na spidi ya kufanya kazi pia imepungua.
Ukijihoji ulitengeneza kwa miaka mingi, ukitazama nguvu uliyonayo sasa, ah inaumiza mno.

Ila mi nikupe moyo , INAWEZEKANA!
unahitaji utulivu wa hali ya juu!
usipaparike, usitake kuwa mwamba, usitake kuprove kwamba sio issue na vyovyote ni sawa.
 
TRUST ME!
UTAVUKA.

Miaka 5 iiyopita mtu angeniambia nitakuwa hapa nilipo , ningeweza kumtandika vibao kwa dhihaka!
Bro sikuwa hata na ajira!
Sikuwa hata na biashara!
LEO NINA VYOTE NILIVYOPOTEZA KWA MARADUFU YAKE!
Unaweza sema wanawake mna mbinu zenu, ila nikwambie tu kwa uhakika ni maisha haya haya ya halali yasiyo na hata chembe ya uharamu wala kujishusha utu.
Wewe una biashara bado, JIKITE HUKO , hama ulipo, Nenda chimbo, ukija kuibuka sio wa leo huyu.
Usipoteze mawazo na pombe wala mwanamke!
 
Well done..Tusubiri Karma..
Kama ni kweli chanzo cha matatizo ni picha zake za uchi.
Wazazi wako walitukanwa mbele yako...
Pambana kama mpambanaji Mwenyezi Mungu atajalia nilivyo ondoka vitapatikana vinginge..
 
Umesema ukweli hapo kweli Dawati la jinsia nilimshauri jamaa akiitwa hasiende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…