Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Tupe huo huo mdogo tuanze nao wakati tunasililizia hukumu, maana unaweza ukafa tusipate ubuyu.Nitaleta tu mkuu, ndio kwanza nasubiri siku 45 zifike nifuate kukabidhiwa hukumu ya kesi. Itakua 31 march hii japo hapa kati mengi yanaendelea. Nitarudusha feedback mwisho wa mwez huu
Wewe sasa umezidi kuzurura πdah kumbe huwa una busara hivi, aisee alaumiwe huyo pablo 1 ππ
usisahau kuni tagNitaleta tu mkuu, ndio kwanza nasubiri siku 45 zifike nifuate kukabidhiwa hukumu ya kesi. Itakua 31 march hii japo hapa kati mengi yanaendelea. Nitarudusha feedback mwisho wa mwez huu
Fanton Mahal ni brother angu so hapa ili kuwa lazima kuwepo!.Wewe sasa umezidi kuzurura π
Brother Fanton Mahal kuoa kwa Sasa ni sawa na arsenal achukue eplππNi lazima atarudi kukuomba msamaha japo itakua too late kwa maamuzi uliyofikia.
Akirudi usimsamehe akute tayari upo kwenye mahusiano mengine ili ikawe funzo kwa wengine na familia yake.
Nitaitafuta mdogo anguUnapo elekea uta kuwa mshirikinaπ, mimi kulala naona ni kama kipaji nisicho pewa.
Kama una penda biashara, marketing strategy, podcast ya msasa by elisha ni nzuri.
Nitaleta mkuu wala hakuna shidaKuna muendelezo wowote mkuu?
Simulizi Yako inanifundisha sana
Ahahahahah...hapana nina imani nitaishi tu,na tutakua pamoja mpaka mwishoTupe huo huo mdogo tuanze nao wakati tunasililizia hukumu, maana unaweza ukafa tusipate ubuyu.
Bila shaka mkuuusisahau kuni tag
MkuuAhahahahah...hapana nina imani nitaishi tu,na tutakua pamoja mpaka mwisho
Me na uhakika atapata mwanamke mwenye uchungu na Mali zake.Brother Fanton Mahal kuoa kwa Sasa ni sawa na arsenal achukue eplππ
uzuri maisha hayaja simama ila nilijipa likizo tu hivyo kurud au kutorud hizo sio shida zangu, kikubwa nimekuja tu ku realize kwamba i was dennying myself alot of expores and luxuries. I was so much crucifying mylife in the name of family. Now is differentNi lazima atarudi kukuomba msamaha japo itakua too late kwa maamuzi uliyofikia.
Akirudi usimsamehe akute tayari upo kwenye mahusiano mengine ili ikawe funzo kwa wengine na familia yake.
Naam chief..Mkuu
Bado wapo kaka. Ninawaona , hata ma bikra kumbe bado wapo wakuu πππMe na uhakika atapata mwanamke mwenye uchungu na Mali zake.
Wanawake wema Bado wapo wanaishi.
Wanasema tembea uoneBado wapo kaka. Ninawaona , hata ma bikra kumbe bado wapo wakuu πππ
Hapo kwenye bikra, nita kucheki nikupe story kuleππBado wapo kaka. Ninawaona , hata ma bikra kumbe bado wapo wakuu πππ
Labda one in a million, Kama kina binti kiziwi na MrsPablo1 πMe na uhakika atapata mwanamke mwenye uchungu na Mali zake.
Wanawake wema Bado wapo wanaishi.
Uki ikosa, nita kutumia linkNitaitafuta mdogo angu
Tena huwa nafurahia kusoma vipande vinavyoonesha namna Gani huruhusu akili Yako kusumbuliwa na akili ya mwingine.Nitaleta mkuu wala hakuna shida