Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hebu ona sasa kama mambo hii, hivi kweli hapo ufanye nini tena kingine mtu ajue kuwa unampenda??
 
Hayo ndio maamuzi ya kiume...pambana bro na maisha yako apo ulishajichanganya kwa Mwanamke asiye na utu.
 
Nilishakuambia huyo mwanamke unakosea sana kumuita wife lakini hunielewi.

Wewe very soon utakuja kuomba ushauri hapa namna ya kurudiana na the so called 'wife'.
Ahahahahah...si unajua mazoea, bado halijanitoka, sio rahis. Ni experience ya miaka 15 sasa najua itachukua muda maana sasa hata sijui natakiwa kumuitaje.😂
 
Haya ndio mambo ambayo sikuyataka kabisaaa yani
 
Haki ya nani sitaoa sio kwa huu upuuzi, unakomaa unapiga vitano kila siku unazaa watoto wanne, unahangaika unajenga, kisha mke anapiga picha za utupv unamdaka anakugeuzia kesi, ndoa nawaachia nimeshadecide, ndoa ilaaniwe, na hapo waliapa kifo kiwatenganishe unafiki mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…