Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa


Kaka, umevuka, sasa usijichanganye hovyo kwa wanawake, na usiiutoe moyo kirahisi, ndoa yako iwe utafutaji wa pesa tu!

Kaka nakupongeza sana! Nakuombea Mungu akufanikishe katika kila eneo la Maisha yako!
 

This is true, nakuhakikishia Mke ataghairi talaka; jamaa hatoikuta!
 
This is true, nakuhakikishia Mke ataghairi talaka; jamaa hatoikuta!
Hapo naomba unifafanulie kidogo mkuu, maana tumesha saini hukumu, japo baada ya 45 days itakaziwa rasmi. Je una maanisha kuna uwezekano mdai akakata rufaa kupinga matakwa yake mwenyewe? Kwamba alitaka taraka na sasa hataki??
 
Wakaibembeleze mahakama. Sasa kama kitu kishaamuliwa mahakamani hakifai kurudi nyuma
 
Mkeo haamini kwakuwa alitaka uendelee kuumia.

Mwanamke alivyo ni Kwamba akikuumiza anataka uendelee kuumia maisha yako yote yaani watataka aone matokeo yakukumiza unapata tabu sana tofauti na sisi wanaume.
Basi hakutumia hekima, kama anataka drama kwenye mambo serious namna hii, haiwez kuwa na afya hata kwake pia
 
Mungu akutunze, vita bado ni Kali. MWANAMKE ni shetani, furaha yake wewe uangamie na kufutika kabisa.
 
Hongera sana mkuu umefanya maamuzi sahihi. Mwanamke akitaka talaka mpe ukilazimisha kuendelea kuishi naye anaweza kukutanguliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…