Tutajua tu,japo wao walitapeliwa kwa pete c wajua tena wadada wa mjini mkivikwa pete mibichwa hiyo mpk kina cc mwatudharau eti tutawapotezea mda.....
Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
Kila kitu kina mwisho wake. Machangu wangapi wameolewa na wametulia.wengi walipitia hukohuko.
Hahahaha yaani mjini watu wanajua kujilipuaga! Yaani twisa na le mutuz, hata ndoa ya kuact ukifumba macho naogopa
Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
Hujawahi kuona wanaume wanaocheat kwa ndoa zao kukicha..kumbuka hizo tabia za mtu na tabia ni km ngozi....na kuna watu wanaoa ili kuwafurahisha wazazi wao
kwani kuzaa ni ugonjwa au sumu kaka? Mi sijali hayoBongo kweli raha..we bwana unamuona kazaa na watu kama watatu bado na wewe unataka kutia mguu haya maisha ya movie sijui yataisha lini..mhona kina twisa wako wengi mjini..
Tena wanaocheat enzi Zhao walikuwa walokole.wamejulia k uzeeni.hivi Huyu twisa no kaka yake kiki zimba?
Sijuiii mnyakyusa huyo..dada kajitolea kulia...c unajua ndoa fashen/bahati/kuondoa nuksi
Ahahaaa le mutuz ana bonge la mbebs.ila twisa hata mi ningemkubali liwalo na liwe.
maskini elina,alikuwa mpole anajitunza enzi zile za kibosho alikuwa serious na masomo leo unaangukia kwa huyu bazazi mnh good luck mwaya....
Kwi kwi kwiiiii yan umenichekesha hadi nimeamua kulog in saa hizi!Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
kwani kuzaa ni ugonjwa au sumu kaka? Mi sijali hayo
Aaah we mgeni mjini?mbona yule naniliu kazaa mapacha na babu?? Unatuaibisha bana acha kushangaaBongo kweli raha..we bwana unamuona kazaa na watu kama watatu bado na wewe unataka kutia mguu haya maisha ya movie sijui yataisha lini..mhona kina twisa wako wengi mjini..