Hahahaha yaani mjini watu wanajua kujilipuaga! Yaani twisa na le mutuz, hata ndoa ya kuact ukifumba macho naogopa
Kwi kwi kwiiiii yan umenichekesha hadi nimeamua kulog in saa hizi!
Ilikuwa tukazamie harusi na Fixed Point, sijui iliishia wapi. Kwa twisa unalia kwenye marcedes eeh? Haya mama
Hamna hata pongezi humu kweli twissa ameharibu Jesus Christ .
maskini elina,alikuwa mpole anajitunza enzi zile za kibosho alikuwa serious na masomo leo unaangukia kwa huyu bazazi mnh good luck mwaya....
Malaya malaya tuu ht akioa...huyo dada ajiandae na yy kwa vilio..unless naye ni malaya mwenzie
kama ni elionora maruma nimesoma naye majengo Pcm alikuwa mpole sana,mtulivu na kichwa kweli kweli toto ya advocate...
kama ni elionora maruma nimesoma naye majengo Pcm alikuwa mpole sana,mtulivu na kichwa kweli kweli toto ya advocate...
usinuambie calvin celebrity siku hizi makubwa.mshikaji wangu wazamani huyoo enzi za mzizima.hahahaha dah ,amezaa na shoga angu lola .nimecheka leo
ni kijana maarufu tu....sema ndio mtoto wa totoz ile mbaya
Ina maana anamzidi Kim Kimbangambanga?
Shes is such a cool lady...nilifanya nae kazi pale Airtel miaka ya 2009 ivi daah!!she deserves to be a waife of somebody.....wakuacheeeee mtoto w akichagaa
Huyo binti ana kifua???
ni kijana maarufu tu....sema ndio mtoto wa totoz ile mbaya