Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Wanaoulizia kelvin ni nan,....he is one of the successful guys kwenye TZ telecom industry,now ni head of brand na nini cjui vodacom,
for more info google jina lake,.
 


Umeandika maneno mazito. Ha ha ha Kwa hiyo Kev amekimbia wapenda ATM!!!
 
Kelvin mseminari?

Hahaha, the Kelvin I am referring to is no longer relevant, I am talking eighties, wakati watu tunajulikana wachakaramu kina Kelvin ndio wale watoto wazuri huwakosi na rozari.

Sada naona kule kulikuwa kufuata maagizo ya mama tu, kujitegemea kumetupa Kelvin mpya I guess judging by these accounts.
 

The one I knew from SRSS is the one we see today. No shocker.
 
heh japo simjui naomba kujua katutoka siku nyingi ama juzijuzi,.

Alifariki kwa ajali ya gari Tanga (walikuwa wawili kwa gari) akitokea Arusha/Moshi alikuwa na rafiki yake pia mtoto wa Luhanga yeye alifariki baadae hospitali. Alifariki 01/08/2007. alizaliwa mwaka 1978.

Mungu awalaze pema peponi.
 
Alifariki kwa ajali ya gari Tanga (walikuwa wawili kwa gari) akitokea Arusha/Moshi alikuwa na rafiki yake pia mtoto wa Luhanga yeye alifariki baadae hospitali. Alifariki 01/08/2007. alizaliwa mwaka 1978.

Mungu awalaze pema peponi.

dah.umenikumbusha mbali mtoto wa luhanga alikuwa anafanya kazi zain? so sad alikuwa peace sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…