Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Kumbe Kelvin naye alisoma SRSS.

Mi nilisoma O-level pale lakini prolly 8-10 years before him.
 
I love this Natalia. Wanawake tukiendekeza njaa na kutojiheshimu matokeo yake ni vilio.
 
Alifariki kwa ajali ya gari Tanga (walikuwa wawili kwa gari) akitokea Arusha/Moshi alikuwa na rafiki yake pia mtoto wa Luhanga yeye alifariki baadae hospitali. Alifariki 01/08/2007. alizaliwa mwaka 1978.

Mungu awalaze pema peponi.

oh so sad,may she RIP,nlidhani juzi tu na harusi hii
 
Usinuambie Calvin celebrity siku hizi Makubwa.Mshikaji wangu wazamani huyoo enzi za mzizima.Hahahaha dah ,amezaa na shoga angu Lola .Nimecheka Leo
Natalia ,

Si ndo hapo, Kelvin celeb, inaonesha hatupo mjini siku nyingi mpaka hili linatushangaza.

Huyo Lola yupi? Not Lola O now?

Hiyo picha jamaa kama yuko totally immersed in connecting with the bride, forget the photographer.
 
Kamuoa dada mpole sana nilifanya naye stanbic bank. Ila chozi la mwanamke halipotei bure, hivyo vilio alivyoacha vitamkost sanaaaaaaa, namhurumia Huyo dada.

Well said
Kuna dada tumepanga nyumba 1,ananiambia twisa kazaa na shost ake pia 2kids
 
nimepiga naye kitabu huyu majengo pcm ,nakumbuka mwalimu wa chemistry mosha alitania darasi nyie wanaume ,mnaosoma science na kina elionora huyu sio saizi yenu ...mtafeli bure....!
 
Nlikuwa natafuta habari za nguli wangu bro.twissa nikafikia jf.duh jf kiboko kwa sasa ukitafuta habari za tanzania lazima uangukie jf.

big up jf
 
2.bp.blogspot.com/-EDyMY02jmY8/UttNXHs1HtI/AAAAAAAATFs/z9_g5W_8sM4/s1600/kelvin+twisa.png
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…