duh hapo pa kupauka pamenifanya nicheke sana, lakini poleni sana walimu na hii kiu ya kapata ajira, kwakweli bila uwepo wenu ni muhimu sana hasa wakati huu maana taifa hili linaelekea kubaya, nawatambueni kama NGUZO muhimu sana kwa maendeleo ya wengi. Lakini kwa baadhi ya comments ambazo zimepita juu zaonesha kuna baadhi yenu mnachangaya taaluma yenu na siasa, jamani miaka mitatu mliyosoma ni mingi sana na BAED(biology, kiswahili, history na nyinginezo) sio kozi ya kitoto najua ninyi ndo huwa mwasoma mambo mengi sana, lakini hivi hakuna vyama/taasisi ambazo ziliundwa kwa ajiri ya kutazama mwenendo mzima wa taaluma hii ya ualimu?, na kama zipo je hao viongozi wamesema nini?..naamini ipo sehemu ya kuanzia na sio kuwaruhusu hawa CCM, CHADEMA, CUF, TLP n.k kumbuka "NO ONE ELSE CAN DETERMINE YOUR FUTURE BUT YOU"-Bill winston